Wanaume mnatoa wapi ujasiri wa kushare Mwanamke?


Zamani mwanamke alitumika na nyoka kumsababisha mwanaume afanye dhambi lakini mwanaume wa leo ni nyoka mwenyewe, shetani na ibilisi.
Mwanaume amekua sio tuu wa kushare mwanamke, amekua mtu wa ktumika na kutumia kinyume cha maumbile, amekua mtu wa kulala na kulalwa na wanawake na wanaume zaidi ya mmoja kwa wakati, amekua mlawiti wa watoto, amekua mlalaji wanyama

Mwanaume aliyepewa nafasi ya kuwa kiongozi wa familia akitakiwa kumuwakilisha Mungu katika kuongoza anazidi kupoteza nafasi yake duniani

Wanaume wachache mnaoitendea kazi nafasi yenu Mungu awatunze sana. Tunatambua umuhimu wenu kwetu
 
Huu ujinga umekuwa common siku hizi, malaya wanajipigia pande eti tupo na mwenzangu utuchukuwe wote[emoji23]. Dah unaenda kupoteza hela bure kwanza huwez kuwashughulikia wote, utapiga kimoja chali.
Watu bado wanataka we unakoroma🤣
 
Kama unamtaka wakwako peke yako tafuta mgomba
 
Ma
Mama D siku nyingine unaongea kwa busara ila leo umekengeuka. Unaweza kuhariri ujumbe wako uweke neno baadhi ya wanaume wachache?
 
Sasa huyo unayedhani ni wako peke yako ndio analiwa na rafiki yako.

Mimi nikijua huyu demu ni wa fulani au fulani kapita, basi mimi nikimpitia namkunja vizuri na vionjo vya hatari hadi baadae anaanza kunitajia mapungufu ya huyo fulani
 
Tupo mama D. Asante sana kwakweli.
 
Adam na Hawa ni majendi, walianzisha dhambi na sisi hatuwezi kuishia walipoishia, tunaendeleza legacy.
 
Kuna ule uzi wa ni maeneo ani hatari uliyowahi kupigia mbunye, na ule wa ni makosa gani uliyowahi kufanya na kujutia.

Ukisoma ndo utajua wanaume wana akili kiasi gani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…