Wanaume mpeni maua Kamishna ACP Debora Magilimba

Wanaume mpeni maua Kamishna ACP Debora Magilimba

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
KAMANDA wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Ilala, mkoani Dar es Salaam, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP), Debora Magiligimba, amewataka wanaume wanaonyimwa unyumba kuripoti katika madawati ya jinsia yaliyopo katika vituo vya polisi kwani huo ni ukatili.

ACP Debora ametoa wito huo Desemba 1,2021 wakati wa maadhimisho ya Siku 16 za Kupinga Ukatili yaliyofanyika katika viwanja vya Tabata shule ambapo pia alikabidhi vitambulisho maalumu kwa madereva bodaboda na bajaji ili iwe rahisi kutambulika.

"Kunyimwa unyumba husababisha kupata ukatili wa kisaikolojia yanapotokea hayo nendeni dawati la jinsia mripoti...nasikia mnauliza mnaanzaje wewe njoo tutakusikiliza," amesema Kamanda Debora.

Chanzo: Mtanzaniadigital

#edwinmoshiupdates
 
Yaani baada ya kamishna kusemaa unaambiwaaa dawati lilijaaa asbh mapemaaa acha kabisaa nendeni mkaulize hii story

Yaa. Wanaumeee mnakufa na mengi sanaa nakamaa hauna moyo wa uvumilivu ndio unasikia kamuua mkewe kwa kunyimwa unyumba

Mnavumilia mengii sanaaasqnqq

Kamishna nasubiria ujumbe wako 2024 siku 16 pls
 
IGP
Kamishna DEBORA APEWE UKAMISHANA KAMILI KABISA YAAN ANAJUA NN KINATUTESA WANAUME

MTUMIEN HUKO KWENYE NDUGUZETU WA MARA ATAWASAIDIA SANA KUWAELIMISHA WATU WASIUANE OVYO
 
Hahaha huko kituoni anatoa unyumba huo au suluhu ni ipi, atawafunga hao wake wanaokataa kuutoa?

Watoa taarifa wanaupataje huo unyumba huko kituoni?
 
Mwanamke akikunyima mara ya kwanza, mara ya pili, mara ya tatu muweke chini, mwambie hicho ndio kilifanya umuoe na sio kingine kama hayuko tayari maana yake ndoa uishe upate mwingine, uone kama ataendelea na huo ujinga
 
Alingie kitu hakina hata uzito wa robo kilo ya nyama na kinachonuka kama nyama iliyooza na bado umuweke chini ! Hua mnafanyaje , tafuta pini zaidi yake jifariji jipe Raha ,ukiona unanyinywa jua kuna mtu huko anabembeleza kupewa na huyohuyo mwanamke , nae hisia zikiisha atamnyima hiyo ndio circle ukiijua hutoteseka
 
Kunyimana unyumba ni mambo ya kishamba
Nduguu ndioo pepo lililoingia kwa sasa kwenye ndoa

Juzi unaambiwa mtu kachinja mke alafu mdada mkuu wa kituoo anasema yaan haya n ambayoo yanaripotiwa yasiyoripotiwa n mengi sana mauwaji kisa kunyimana unyumbaaa
 
Ninajua wife anaweza kununa siku moja tu akagoma kutoa lakn haijawahi kuwa zaidi ya siku 2 zote agome..
Mnakwama wapi wanaume
 
2005
Nilioa
Mke akatangaza niache kazi tufanye biashara nkagoma
Akaja na tukasome masters de
london kaleta ma docs fake kibao kapata chuo na mdhamini kashalipia nnkagoma
Kaja na part 3
Kunyimana unyumbaaa weeeee nkamwambia naijua hiooo hiii kidogo naimudu

Akaanza kurudi saa saba nkarudi sakumi

Akanchokq akaanza kulala na marafiki zake chumban nkaona hapa sio hapo n wiki 4
Nkapanga nguo vyeti begi..siku hari limekuja yuko na rafiki yake nkawàga kila la kheri wote nasafiri oooh wapi nkamwambia nkifika airport ntakwambia hapo sinxa

Baada ya mwaka akapiga anaomba nimsaidie talaka nkamwambia dk 0
Nkaenda mahakaman kawe mm nkahonga wansaidie wakasema aisee huyu dada wala huotaji kutoa chochote hiyu ukija mwezi ujao nakusainisha

Imoooo aiseee sijawahii kunywa kama ile siku kwa kweli

Akabadili dini akaolewa na msilamu hahaha akakutana na moto alimdanganya hanywi pombeee wewe akaact akanza mambo yake miezi 3 wakaachana

Haha akaja akakaa na mume wa mtu baada mume akamrudia mkewee znz

Hahahaa akataka kurudisha laana zake kwangu nkabadilo na namba za simu akapewa sijui na nani namba mpya nkamwambia ndugu hii sio dini sibadilishi tena nambaa naomba uniache nkamblock...sasa hivi hata sijui alipo

Yaan unyumba asikutese mtu
Kanisa la katoliki
Aisee nijuze la wapi hayamakanisa mengi sanaa..
 
kwa upande wa dini ya kiislam, Muumba alikuwa keshajua toka dunia alipoiumba Kama kuna udhaifu kwa wannawake ambao unatokana na sababu nyingi tunazozijua na tusizozijua, Ndio maana akabainisha katika kitabu chake kitukufu. Süratlul Nisaa (sura ya wanawake) aya ya 3
…..,,"basi oeni mnao wapenda katika wanawake, wawili au watatu au wane. na mkiogopa kuwa hamwezi kufanya uadilifu, basi mmoja tu”……

Hii offer hapati tabu mwanamke wala mwanamme.
Wanawake kwenye ukewenza anakuwa na jitihada za ziyada İli ahakikishe anafanya vizuri, na mwanamme na yeye akili na mwili huimarika vizuri kwa sababu anapata utulivu wa kutosha, Hakuna msongo wa mawazo.

Naomba msinikashifie dini yangu kWa sababu kuna magwiji hapa ukumbini wao kazi zao kukashifu dini za wenzao.
Kama haijakupendezea pita tuu
Ahsanteni
 
2005
Nilioa
Mke akatangaza niache kazi tufanye biashara nkagoma
Akaja na tukasome masters de
london kaleta ma docs fake kibao kapata chuo na mdhamini kashalipia nnkagoma
Kaja na part 3
Kunyimana unyumbaaa weeeee nkamwambia naijua hiooo hiii kidogo naimudu

Akaanza kurudi saa saba nkarudi sakumi

Akanchokq akaanza kulala na marafiki zake chumban nkaona hapa sio hapo n wiki 4
Nkapanga nguo vyeti begi..siku hari limekuja yuko na rafiki yake nkawàga kila la kheri wote nasafiri oooh wapi nkamwambia nkifika airport ntakwambia hapo sinxa

Baada ya mwaka akapiga anaomba nimsaidie talaka nkamwambia dk 0
Nkaenda mahakaman kawe mm nkahonga wansaidie wakasema aisee huyu dada wala huotaji kutoa chochote hiyu ukija mwezi ujao nakusainisha

Imoooo aiseee sijawahii kunywa kama ile siku kwa kweli

Akabadili dini akaolewa na msilamu hahaha akakutana na moto alimdanganya hanywi pombeee wewe akaact akanza mambo yake miezi 3 wakaachana

Haha akaja akakaa na mume wa mtu baada mume akamrudia mkewee znz

Hahahaa akataka kurudisha laana zake kwangu nkabadilo na namba za simu akapewa sijui na nani namba mpya nkamwambia ndugu hii sio dini sibadilishi tena nambaa naomba uniache nkamblock...sasa hivi hata sijui alipo

Yaan unyumba asikutese mtu

Aisee nijuze la wapi hayamakanisa mengi sanaa..
Duuh pole sana mkuu ni changamoto kubwa sana. So ulioa tena?
 
Back
Top Bottom