Wanaume mpewe nini mtulie?

Oooh kumbe.
Hoja unayo kiongozi.
 
Watatulia kaburini 😂
Tofauti na hapo usijivunje kiuno madam. Hawatuliagi, na hawajui kutulia.

Usimpotoshe mwenzako.
Viuno vya uzazi ama mauno ya hasara ndiyo vinatuliza mwanaume ndani.
 
Mwenzio huyu hapa.


Embu tuambie na nyie mfanyiwe nini?
 
U
Umeonae!
Yaani nje unapata kwa wepesi ila ndani hata kwa magoti hupewi!
Mambo ya kuanza kutongoza upya kila ukitaka mbunye nani anataka😂!

Kubembeleza ni mara tatu tu, kuanzia ya 4 unaruka ukuta grasses are always greener on the other side!
 
Marahaba cacutee hujambo?
Kiukweli kabisa wanaume huwa hatupendi kero, kusumbuliwa na pale tunapohitajia huwa tunataka tupewe kwa wakati. Kujivuta vuta, kero na usumbufu kwa baadhi ya wenzenu ndio husababisha wanaume tuwe na viteule.
 
Tatizo mnataka wanaume wale wazuri wazuri wenye mpunga midungu jeshi.
Mimi natafutaga watu wana sura personal Athuman muuza majeneza hana mbuni
Nna mwaka wa 4 sijaumwa UTI wala nn
Bora wenye sura personal tumekumbukwa leo 😂! All in All mchepuko anasaidia kubalance ndoa hasa nyakati ngumu ngumu kama za kulea ujauzito!
 
Mnajidanganya kuwa unaweza mtuloza mmeo kwa kumpa kila kitu na kila saa ili umridhishe bila kujua maombi yatakayomfanya awe na hofu ya Mungu ndio solution ya hayo. Bila mme kuwa na hofu ya Mungu, mtavunjika viuno kutaka kumridhisa na kamwe hamtafanikiwa.

Mwanamke mwenye hofu ya Mungu na kumuomba Mungu kwa ajili ya nyumba yake ndiye atakayefanikiwa ila sio kudanganywa.
 
Nikikwambia unipe ninachotaka utanipa? Usije kunipeleka mahakamani kama Rkelly
 
We cacutee...ina maana we hujui kama wanawake mko wengi zaid ya wanaume?
sasa mkipewa nyie wachache hao wanawake wengine watapewa na nan?


Na ndio maana unaona wanaume hatutulii na mmoja lengo letu tuwafikia had wale ambao huduma haijawafikia
Alafu ukute hujui kuwa duniani wanaume tupo wengi kuliko wanawake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…