Doubleg Malafyale
JF-Expert Member
- Feb 17, 2017
- 2,733
- 3,561
Mimi ni mmoja waoWapo kwani?
Karibu pm tuyajenge cacutee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi ni mmoja waoWapo kwani?
Mbona wapo sema hujabahatika kuwa naoSasa mwanaume wa mwanamke mmoja umemuona wapi
Nitaleta Uzi nijibu hoja zakoBoss wako wapii!?
Umeshaona kifo kimetulia na mtu mmoja?Nimekuwa msomaji wa kimya Ila Leo Nina kitu kooni kimenikaba imebidi niingie nikiweke.
Kwanza kabisa Shikamoo kwa wale wakubwa na habari zenu kwa wale wadogo.
Kumekuwa na tabia ya wakaka na wababa wengi kutotulia kwenye mahusiano. Na wao wamekuwa wakikiri kwamba mwanaume mmoja ana wanawake zaidi ya 1. Hii imekuwa kero Sana kwa wanawake kwa kuwa hawapendezwi na wenza wao kutotulia na mpenzi au mwenza mmoja.
Nawauliza Leo mfanyiwe nini mtulie na mwenza mmoja?
Maana Wanawake wengi wamechoka kupata pid na uti sugu maana kila wakitibiwa mnaleta nyingine huko nje.
Sisemi wote hamjatulia Ila mnaoruka ruka ndio wengi zaidi. Wanawake wamekuwa wakilalamika Sana kwenye vikao vyetu.
Ni mada nimeona niilete.
Asante ni.
Aise!Mchepuko wenyewe sasa, alafu unataka tutulie vipi?
View attachment 2958917
Hauna orodha uwataje kma bashiteNimekuwa msomaji wa kimya Ila Leo Nina kitu kooni kimenikaba imebidi niingie nikiweke.
Kwanza kabisa Shikamoo kwa wale wakubwa na habari zenu kwa wale wadogo.
Kumekuwa na tabia ya wakaka na wababa wengi kutotulia kwenye mahusiano. Na wao wamekuwa wakikiri kwamba mwanaume mmoja ana wanawake zaidi ya 1. Hii imekuwa kero Sana kwa wanawake kwa kuwa hawapendezwi na wenza wao kutotulia na mpenzi au mwenza mmoja.
Nawauliza Leo mfanyiwe nini mtulie na mwenza mmoja?
Maana Wanawake wengi wamechoka kupata pid na uti sugu maana kila wakitibiwa mnaleta nyingine huko nje.
Sisemi wote hamjatulia Ila mnaoruka ruka ndio wengi zaidi. Wanawake wamekuwa wakilalamika Sana kwenye vikao vyetu.
Ni mada nimeona niilete.
Asante ni.
Dawa ni kuoa wake wanneMchepuko wenyewe sasa, alafu unataka tutulie vipi?
View attachment 2958917
Nimekuwa msomaji wa kimya Ila Leo Nina kitu kooni kimenikaba imebidi niingie nikiweke.