Wanaume mpewe nini mtulie?

Wanaume mpewe nini mtulie?

Nimekuwa msomaji wa kimya Ila Leo Nina kitu kooni kimenikaba imebidi niingie nikiweke.

Kwanza kabisa Shikamoo kwa wale wakubwa na habari zenu kwa wale wadogo.

Kumekuwa na tabia ya wakaka na wababa wengi kutotulia kwenye mahusiano. Na wao wamekuwa wakikiri kwamba mwanaume mmoja ana wanawake zaidi ya 1. Hii imekuwa kero Sana kwa wanawake kwa kuwa hawapendezwi na wenza wao kutotulia na mpenzi au mwenza mmoja.

Nawauliza Leo mfanyiwe nini mtulie na mwenza mmoja?

Maana Wanawake wengi wamechoka kupata pid na uti sugu maana kila wakitibiwa mnaleta nyingine huko nje.

Sisemi wote hamjatulia Ila mnaoruka ruka ndio wengi zaidi. Wanawake wamekuwa wakilalamika Sana kwenye vikao vyetu.

Ni mada nimeona niilete.

Asante ni.
Umeshaona kifo kimetulia na mtu mmoja?
 
Wanawake wanachangamoto nyingi sana especially kwenye s3x ,Mwanamme yupo ready 24hrs ila mwanamke wanamambo mengi mara redcarpet ,mara kachoka alikuwa anakazi nyumbani ,mara kichwa kinauma,nampikia mtoto,mara napika,mara mara mara mara kibao ,ndiyo maana m/me anaamua kwenda kupunguza nje,
 
Nimekuwa msomaji wa kimya Ila Leo Nina kitu kooni kimenikaba imebidi niingie nikiweke.

Kwanza kabisa Shikamoo kwa wale wakubwa na habari zenu kwa wale wadogo.

Kumekuwa na tabia ya wakaka na wababa wengi kutotulia kwenye mahusiano. Na wao wamekuwa wakikiri kwamba mwanaume mmoja ana wanawake zaidi ya 1. Hii imekuwa kero Sana kwa wanawake kwa kuwa hawapendezwi na wenza wao kutotulia na mpenzi au mwenza mmoja.

Nawauliza Leo mfanyiwe nini mtulie na mwenza mmoja?

Maana Wanawake wengi wamechoka kupata pid na uti sugu maana kila wakitibiwa mnaleta nyingine huko nje.

Sisemi wote hamjatulia Ila mnaoruka ruka ndio wengi zaidi. Wanawake wamekuwa wakilalamika Sana kwenye vikao vyetu.

Ni mada nimeona niilete.

Asante ni.
Hauna orodha uwataje kma bashite
 
inaonekana unadandia wanaume wasiofaa ndio maana unapata UTI sugu na PID
Soon utapata kaswende akili ikukae sawa
 
Nimekuwa msomaji wa kimya Ila Leo Nina kitu kooni kimenikaba imebidi niingie nikiweke.

Kwanza kabisa Shikamoo kwa wale wakubwa na habari zenu kwa wale wadogo.

Kumekuwa na tabia ya wakaka na wababa wengi kutotulia kwenye mahusiano. Na wao wamekuwa wakikiri kwamba mwanaume mmoja ana wanawake zaidi ya 1. Hii imekuwa kero Sana kwa wanawake kwa kuwa hawapendezwi na wenza wao kutotulia na mpenzi au mwenza mmoja.

Nawauliza Leo mfanyiwe nini mtulie na mwenza mmoja?

Maana Wanawake wengi wamechoka kupata pid na uti sugu maana kila wakitibiwa mnaleta nyingine huko nje.

Sisemi wote hamjatulia Ila mnaoruka ruka ndio wengi zaidi. Wanawake wamekuwa wakilalamika Sana kwenye vikao vyetu.

Ni mada nimeona niilete.

Asante ni.

Swali hilo sion kwa wanaume pekee, linakwenda kwa wote.

Koo za simba hatuna tatizo hilo.

Back
Top Bottom