Wanaume mpewe nini mtulie?

Wanaume mpewe nini mtulie?

Nimekuwa msomaji wa kimya Ila Leo Nina kitu kooni kimenikaba imebidi niingie nikiweke.

Kwanza kabisa Shikamoo kwa wale wakubwa na habari zenu kwa wale wadogo.

Kumekuwa na tabia ya wakaka na wababa wengi kutotulia kwenye mahusiano. Na wao wamekuwa wakikiri kwamba mwanaume mmoja ana wanawake zaidi ya 1. Hii imekuwa kero Sana kwa wanawake kwa kuwa hawapendezwi na wenza wao kutotulia na mpenzi au mwenza mmoja.

Nawauliza Leo mfanyiwe nini mtulie na mwenza mmoja?

Maana Wanawake wengi wamechoka kupata pid na uti sugu maana kila wakitibiwa mnaleta nyingine huko nje.

Sisemi wote hamjatulia Ila mnaoruka ruka ndio wengi zaidi. Wanawake wamekuwa wakilalamika Sana kwenye vikao vyetu.

Ni mada nimeona niilete.

Asante ni.
Kwenye pid na uti hapo nakataa sana...japo ni njia za uambukizaji....lakini angalieni hizo pad na vyoo mnavyotumia...maana mie ni mmoja wa watu ambao sitoki nje na mke wangu pia...lakini maambukizi ndani hayakuisha mpaka tulipobadili style ya maisha.
 
Duh
 
Niliacha pombe. Sidhani Kama kuachwa pombe, kuchepuka, kuhonga Ni vitu vibaya.
Ifike mahali hata wewe ujiulize kwanini unachepuka? Je kifo kikikukuta uko gesti na mchepuko, utaacha legacy gani? Na huko roho yako iendako itakuwaje.
Nilicho jifunza. Ukijiheshimu k ya waif inatosha Sana.
Hongeraaaa sanaaa
 
Safi sana
 
Watatulia kaburini 😂
Tofauti na hapo usijivunje kiuno madam. Hawatuliagi, na hawajui kutulia.
Wewe ndio wakupewa viti maalumu una akili zimepitiliza ,busara yako iko ghorofa ya juu kabisa.
 
Back
Top Bottom