Wanaume mpewe nini mtulie?

Wanaume mpewe nini mtulie?

Ww wajina nikuulize swali?? Ww unaweza kuangalia TBC kila siku??
Wanaume hawawezi kukuelewa hilo suala lako hata kidogo, labda awe na upungufu wa nguvu za kiume.

Hao hata wakiwa kitandani wanaumwa wanakwambia ipandie juu mama yoyoo utakuwa unanipa kidogo kidogo.!!! Wako radhi wapitishe muda wa kunywa dawa ila sio kitobo. Tafuta kazi ufanye watapumzika kaburini. Nako sina uhakika 🤣🤣🤣🤣
 
Nimekuwa msomaji wa kimya Ila Leo Nina kitu kooni kimenikaba imebidi niingie nikiweke.

Kwanza kabisa Shikamoo kwa wale wakubwa na habari zenu kwa wale wadogo.

Kumekuwa na tabia ya wakaka na wababa wengi kutotulia kwenye mahusiano. Na wao wamekuwa wakikiri kwamba mwanaume mmoja ana wanawake zaidi ya 1. Hii imekuwa kero Sana kwa wanawake kwa kuwa hawapendezwi na wenza wao kutotulia na mpenzi au mwenza mmoja.

Nawauliza Leo mfanyiwe nini mtulie na mwenza mmoja?

Maana Wanawake wengi wamechoka kupata pid na uti sugu maana kila wakitibiwa mnaleta nyingine huko nje.

Sisemi wote hamjatulia Ila mnaoruka ruka ndio wengi zaidi. Wanawake wamekuwa wakilalamika Sana kwenye vikao vyetu.

Ni mada nimeona niilete.

Asante ni.
Mwaka wa Saba huu unaisha sijawahi kuchepuka.
Mwaka wa Saba unaisha sijawahi kuvaa kondo** Wala kuingia gesti kwa ajili ya uzinzi Wala kuhonga Wala kumnunulia Malaya bia Wala kunawa Wala kuliwa koni. Aisee Mambo Ni mengi.
 
Mwaka wa Saba huu unaisha sijawahi kuchepuka.
Mwaka wa Saba unaisha sijawahi kuvaa kondo** Wala kuingia gesti kwa ajili ya uzinzi Wala kuhonga Wala kumnunulia Malaya bia Wala kunawa Wala kuliwa koni. Aisee Mambo Ni mengi.
Na guess kuna kitu kibaya sana unachokifanya tofauti na hapo..
(Lakini na guess tu)
 
Na guess kuna kitu kibaya sana unachokifanya tofauti na hapo..
(Lakini na guess tu)
Niliacha pombe. Sidhani Kama kuachwa pombe, kuchepuka, kuhonga Ni vitu vibaya.
Ifike mahali hata wewe ujiulize kwanini unachepuka? Je kifo kikikukuta uko gesti na mchepuko, utaacha legacy gani? Na huko roho yako iendako itakuwaje.
Nilicho jifunza. Ukijiheshimu k ya waif inatosha Sana.
 
Back
Top Bottom