Pendaelli
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 11,050
- 31,412
Sure ni utani, hata huyo yupo engo ya utani.Kaka utan kweli??
Umeona babu nae alichonambia hapo juu?
Hatuwezi kuku harass mrembo wetu mpya , enjoy.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sure ni utani, hata huyo yupo engo ya utani.Kaka utan kweli??
Umeona babu nae alichonambia hapo juu?
Hao unaowaita pamoja na wewe uzi unaenda kuwa wa moto punde tu!
Ndio anakaribia stage ya kuita mwanaume wake mbwa tumuache
Naam!??watapumzika kaburini. Nako sina uhakika
Mbona mm nimetulia, em nijaribu uone utulivu wanguWatatulia kaburini 😂
Tofauti na hapo usijivunje kiuno madam. Hawatuliagi, na hawajui kutulia.
Hii ni pumu ya ngozi, haiambukizi. Kutobika kwake mtiti sana
sorry mkuu,hivi pendaeli ni jina la kiumeTupeni hela tutatulia.
aloo! ukija kuiona laivu unaweza kuzimia
Mwaka wa Saba huu unaisha sijawahi kuchepuka.Nimekuwa msomaji wa kimya Ila Leo Nina kitu kooni kimenikaba imebidi niingie nikiweke.
Kwanza kabisa Shikamoo kwa wale wakubwa na habari zenu kwa wale wadogo.
Kumekuwa na tabia ya wakaka na wababa wengi kutotulia kwenye mahusiano. Na wao wamekuwa wakikiri kwamba mwanaume mmoja ana wanawake zaidi ya 1. Hii imekuwa kero Sana kwa wanawake kwa kuwa hawapendezwi na wenza wao kutotulia na mpenzi au mwenza mmoja.
Nawauliza Leo mfanyiwe nini mtulie na mwenza mmoja?
Maana Wanawake wengi wamechoka kupata pid na uti sugu maana kila wakitibiwa mnaleta nyingine huko nje.
Sisemi wote hamjatulia Ila mnaoruka ruka ndio wengi zaidi. Wanawake wamekuwa wakilalamika Sana kwenye vikao vyetu.
Ni mada nimeona niilete.
Asante ni.
Na guess kuna kitu kibaya sana unachokifanya tofauti na hapo..Mwaka wa Saba huu unaisha sijawahi kuchepuka.
Mwaka wa Saba unaisha sijawahi kuvaa kondo** Wala kuingia gesti kwa ajili ya uzinzi Wala kuhonga Wala kumnunulia Malaya bia Wala kunawa Wala kuliwa koni. Aisee Mambo Ni mengi.
Hahaaaa, ivi mwamba yuko wapi cku iz?
Niliacha pombe. Sidhani Kama kuachwa pombe, kuchepuka, kuhonga Ni vitu vibaya.Na guess kuna kitu kibaya sana unachokifanya tofauti na hapo..
(Lakini na guess tu)
Na hii dhana ya wanaume wote Wana wanawake wengi mnaitoaga wapiTabia ya mtu ni kama nguo mkuu..
Enhee, endelea una kitu kitoe zaidi.Watulie ili iweje sasa
Kwa tafsiri yake anaweza kupewa yoyote hilo jina ila linampendezea mwanaume zaidibna wengi ni wanaume wanatumia jina hilosorry mkuu,hivi pendaeli ni jina la kiume