Wanaume mpewe nini mtulie?

dada tatizo ni midomo...
mume wako au mchumba wako sio kipaza sauti cha kupigia kelele πŸ’

kaka tatizo ni ubabe....
mke au mchumba wako sio kidude cha kujaribu miguu yako πŸ’

mpendane, msichokozane amani ya bwana iwe ndani yenu πŸ’

makelele na ubabe ni kichocheo kikubwa sana kwa wana ndoa na walio kwenye uchumba kuvuka boda na kwenda kupiga show za njee na kuleta nyumbani zawaidi hiyo nzito na fedheha, yaani UTI sugu, gono, kaswende na pengine ukimwi πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…