Wanaume mpewe nini mtulie?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Asante Kwa kuleta

Siku ukianza kumuuliza "ni nani mwingine unampenda au anakuvutia unatamani kuwa nae!!?Ili nikufanyie mpango awe mke mdogo kwako!!?

Siku mkijitambua mkafanya hivyo aiseh mtatutawala sana Sana!!wanaume tunawapenda ke wanaojali hisia na matamanio yetu!!!

Lakini kuendekeza kwenu wivu ndio sumu inayotuua wote!!
 
Shida ipo wakina dada mnataka mtumiliki,hilo jambo ni gumu mno.
Zamani wazee walikuwa wana wake zaidi ya mmoja na mambo yalikuwa fresh tu sasa hivi mwanamke aanataka mwanamume wa peke yake mnatupa unneccessary stress sisi wanaume na nyie pia.
Tulia nyumbani akirudi jua ndio wako akiwa mbali fanya mambo yako
 
Hakuna anayemiliki mtu boss.
Ni maelewano tu
 
Wanawake ni wengi kuliko wanaume, je hao wanaozidi wanatatuaje hitaji la kimaumbile, tazama hata katika hali ya kawaida kujichua kunavyopigwa vita
Kulingana na takwimu za dunia nzima,wanaume ndio wengi kuliko wanawake.
 
Ni vile tu bado hujamfumania πŸ˜‚
Wanaotulia wapo wengi tu sema ndio mnakuwa hamuwapendi kimapenzi, wewe unataka mwanaume awe handsome, mweusi mara mrefu mwanaume wa dizaini hii unadhani atakuwa na mwanamke mmoja wakati soko lake nikubwa?
 
Wanawake hawajatulia pia Tena wako wengi, hili nitatizo ambalo liko kwenye jamii ni ukosefu wa maadili jamii inayaona haya yote lkn Iko kimyaa
 
Tatizo mnataka wanaume wale wazuri wazuri wenye mpunga midungu jeshi.
Mimi natafutaga watu wana sura personal Athuman muuza majeneza hana mbuni
Nna mwaka wa 4 sijaumwa UTI wala nn
Dada umemaliza kila kitu ingawa kuna hoja zingine zakuongezea hapo nitaleta Uzi kabisa kujibu hoja za mtoa mada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…