Wanaume, Msijimalize kwa Madada Poa walioko Dodoma, wengi wako 'Kazini'.

Nusratt

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2024
Posts
1,712
Reaction score
4,259
Msiseme Sijawaambia!

Fanya ulichokifuata kwake.
Ukimaliza mlipe ujira wake mliokubaliana.
Kama ahitaji ujira, basi mpe asante kisha rudi nyumbani kwako.

Kama wewe ni 'msafi' basi waweza anzisha utaratibu wa kuwa nae karibu zaidi kwa ajili ya huduma zake.

Ila kama wewe unajijua ni 'mchafu', basi kaa mbali na usianzishe mahusiano nae, labda tu kama una 'kifua'.

Muhimu kuliko vyote:
Linda afya yako na fanya ngono iliyo salama.
Utakuja kunishukuru baadae
 
Dodoma ina gono kali sanaa.. msiseme sijasema
Screenshot_20250917-192024.png
 
Bakini njia kuu. Uzinzi ni noma sana. Mwenyezi Mungu amekataza zinaa. Najua ni vigumu kuacha kwa nguvu za kibinadamu. Roho/nafsi inakuwa inakusuta kuwa ufanyacho sio sawa, lakini tamaa ya mwili inavuta kwa kasi hadi inazimisha nafsi yako.
Tufanyeje sasa:
Tunatakiwa kutubu dhambi ya zinaa pamoja na dhambi nyinginezo kwa kumaanisha kuziacha na kuomba msaada wa Yesu Kristo ili atuwezeshe kushinda dhambi zote.

Warumi 10:9-10
[9]Kwa sababu, ukimkiri Yesu kwa kinywa chako ya kuwa ni Bwana, na kuamini moyoni mwako ya kuwa Mungu alimfufua katika wafu, utaokoka.
[10]Kwa maana kwa moyo mtu huamini hata kupata haki, na kwa kinywa hukiri hata kupata wokovu.
 
We unapaswa muoi
Msiseme Sijawaambia!

Fanya ulichokifuata kwake.
Ukimaliza mlipe ujira wake mliokubaliana.
Kama ahitaji ujira, basi mpe asante kisha rudi nyumbani kwako.

Kama wewe ni 'msafi' basi waweza anzisha utaratibu wa kuwa nae karibu zaidi kwa ajili ya huduma zake.

Ila kama wewe unajijua ni 'mchafu', basi kaa mbali na usianzishe mahusiano nae, labda tu kama una 'kifua'.

Muhimu kuliko vyote:
Linda afya yako na fanya ngono iliyo salama.
Utakuja kunishukuru baadae
gwa ban wewe binti thread zako ni za kimalaya sana na unahamasisha ngono Moderator huyu mdau mpige chini anaharibu kizazi chetu huyu
 
Una mada z
Msiseme Sijawaambia!

Fanya ulichokifuata kwake.
Ukimaliza mlipe ujira wake mliokubaliana.
Kama ahitaji ujira, basi mpe asante kisha rudi nyumbani kwako.

Kama wewe ni 'msafi' basi waweza anzisha utaratibu wa kuwa nae karibu zaidi kwa ajili ya huduma zake.

Ila kama wewe unajijua ni 'mchafu', basi kaa mbali na usianzishe mahusiano nae, labda tu kama una 'kifua'.

Muhimu kuliko vyote:
Linda afya yako na fanya ngono iliyo salama.
Utakuja kunishukuru baadae
a kishenzi sana ujinga ujinga mwingi.
 
Mawakala wa USAIDS au sio?
 
Back
Top Bottom