Wawekee picha kwa faida yao...Ndio hapo.
Mie nawapa code, halafu wanabisha.
Sawa asante kwa taarifaNarudia tena, usiseme hujaambiwa.
Wawe ni wa Chako ni chako, Uhindini, wa kwa Msangi, kwa Mwana, Kilimajarao ila usiseme hujaambiwa Seth saint
π₯Άππ
MALAYA HUACHA ENDAPO ATAENDA KABURINI
Tukushukuru kwa kuhamasisha uzinzi?Msiseme Sijawaambia!
Fanya ulichokifuata kwake.
Ukimaliza mlipe ujira wake mliokubaliana.
Kama ahitaji ujira, basi mpe asante kisha rudi nyumbani kwako.
Kama wewe ni 'msafi' basi waweza anzisha utaratibu wa kuwa nae karibu zaidi kwa ajili ya huduma zake.
Ila kama wewe unajijua ni 'mchafu', basi kaa mbali na usianzishe mahusiano nae, labda tu kama una 'kifua'.
Muhimu kuliko vyote:
Linda afya yako na fanya ngono iliyo salama.
Utakuja kunishukuru baadae
Ndiyo kosa linalofanyika kwenye hivi Vyombo vyetu vya Ulinzi kujikuta vinatumika kulinda maslahi ya Chama Dola tuZinasaidia kuwabaini wanaokosoa watawala
Intelligence ya Nchi imejikita kwenye kulinda maslahi ya Chama badala ya NchiUkiskia nyuki wa Mashineni ndo nyinyi, mlicho faulu ni kuwanyanyasa chadems