Wanaume msinichukie kwa huu ukweli ninaotoa hapa

STUNTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
13,076
Reaction score
17,247
Wanaume wanaumwa ugonjwa maarufu unaitwa
'I want that taste Disease', hawatosheki..eh sorry
hatutosheki... Utakuta mtu ana mke mzuri, unywele
hadi mgongoni, shape kama kachorwa na
bikari, kamuoa yuko home lakini akiwa nje ukipepe kama kawa, na anacheat na mwanamke ambaye
wengine hata huelewi kafuata nini maana wako
below Standard hata za mkewe,
Mwanamke ana
Chunusi nyingi kuliko Vinyweleo, wakati mkewe
chuma cha pua yaani TBS ya mapenzi hakuna
kabisa...
Wa ukweli yuko home lakini bado anataka kujua Taste ya hii mpya aliyoiona ikoje na akishatest
basi, roho inatulia macho yanasaka taste
mpya.
Tukifanikiwa kupona '' I want that taste Disease''
hakuna viumbe tunajua kupenda kama sisi wanaume
na tutawapenda nyie wadada hadi
mshangae na kuota vipele vya baridi, lakini shida ndo hiyo, asilimia 95 au zaidi tunaumwa,
mke kibonge
tunacheat na Miss Ukonga, hata haijulikani
Hobby yetu ni Mifupa au Nyama. Eh Mwenyezi Mungu
saidia macho yetu yaache kuona sana na turidhike na
Taste moja na sio kila Taste maana Safari
sisi, Tusker Sisi na Balimi sisi,absolutely no Choice...Wanaume msinichukie,kukubali udhaifu ni
nusu ya Kupona udhaifu huo.
 
vyote ulivyoandika kwa kifupi tunaita USHABABI mwanaume kaumbiwa wanawake ila mwanamke hajaumbiwa wanaume so kwangu ni sahihi wanaume kuwa hivyo,yaani siku hz ukitembea na mabinti 20 tu shida wakati nabii suleimani alikuwa na wanawake dahari
Wanaume wanaumwa ugonjwa maarufu unaitwa
'I want that taste Disease', hawatosheki..eh sorry
hatutosheki... Utakuta mtu ana mke mzuri, unywele
hadi mgongoni, shape kama kachorwa na
bikari, kamuoa yuko home lakini akiwa nje ukipepe kama kawa, na anacheat na mwanamke ambaye
wengine hata huelewi kafuata nini maana wako
below Standard hata za mkewe,
Mwanamke ana
Chunusi nyingi kuliko Vinyweleo, wakati mkewe
chuma cha pua yaani TBS ya mapenzi hakuna
kabisa...
Wa ukweli yuko home lakini bado anataka kujua Taste ya hii mpya aliyoiona ikoje na akishatest
basi, roho inatulia macho yanasaka taste
mpya.
Tukifanikiwa kupona '' I want that taste Disease''
hakuna viumbe tunajua kupenda kama sisi wanaume
na tutawapenda nyie wadada hadi
mshangae na kuota vipele vya baridi, lakini shida ndo hiyo, asilimia 95 au zaidi tunaumwa,
mke kibonge
tunacheat na Miss Ukonga, hata haijulikani
Hobby yetu ni Mifupa au Nyama. Eh Mwenyezi Mungu
saidia macho yetu yaache kuona sana na turidhike na
Taste moja na sio kila Taste maana Safari
sisi, Tusker Sisi na Balimi sisi,absolutely no Choice...Wanaume msinichukie,kukubali udhaifu ni
nusu ya Kupona udhaifu huo.
 
Pamoja na hayo wanawake pia husababisha wanapowanyima waume zao unyumba kwa visingizio fulani fulani visivyo na mashiko, utakuta mke wa mtu siku ya kwanza oh! nimechoka, kesho; kesho ikifika oh, ninaumwa kichwa, siku ya tatu sijisikii, hapo unategemea nini????
 
1472664901973.jpg
 
Wanaume wanaumwa ugonjwa maarufu unaitwa
'I want that taste Disease', hawatosheki..eh sorry
hatutosheki... Utakuta mtu ana mke mzuri, unywele
hadi mgongoni, shape kama kachorwa na
bikari, kamuoa yuko home lakini akiwa nje ukipepe kama kawa, na anacheat na mwanamke ambaye
wengine hata huelewi kafuata nini maana wako
below Standard hata za mkewe,
Mwanamke ana
Chunusi nyingi kuliko Vinyweleo, wakati mkewe
chuma cha pua yaani TBS ya mapenzi hakuna
kabisa...
Wa ukweli yuko home lakini bado anataka kujua Taste ya hii mpya aliyoiona ikoje na akishatest
basi, roho inatulia macho yanasaka taste
mpya.
Tukifanikiwa kupona '' I want that taste Disease''
hakuna viumbe tunajua kupenda kama sisi wanaume
na tutawapenda nyie wadada hadi
mshangae na kuota vipele vya baridi, lakini shida ndo hiyo, asilimia 95 au zaidi tunaumwa,
mke kibonge
tunacheat na Miss Ukonga, hata haijulikani
Hobby yetu ni Mifupa au Nyama. Eh Mwenyezi Mungu
saidia macho yetu yaache kuona sana na turidhike na
Taste moja na sio kila Taste maana Safari
sisi, Tusker Sisi na Balimi sisi,absolutely no Choice...Wanaume msinichukie,kukubali udhaifu ni
nusu ya Kupona udhaifu huo.
 
Ha ha ha ha stunter Leo wadada wamepumzishwa.
 
  • Thanks
Reactions: irk
Back
Top Bottom