Wanaume msinichukie kwa huu ukweli ninaotoa hapa

Wanaume msinichukie kwa huu ukweli ninaotoa hapa

Bila ya shaka Muumbaji alifanya hivyo makusudi.

"Zaeni muongezeke, mkaijaze nchi"!
 
Mmoja hatoshi

Wawili mpaka wanne
Mchepuko.jpg
 
Kumbuka Mungu alimuumba Adam na Hawa HAPA. Soni kujichagulia tu.... (just funny)
 
Chanzo kikubwa ni wanawake kukubali wanaume walio na wake zao. Kwanini mwanamke asikatae??
 
Wanaume wanaumwa ugonjwa maarufu unaitwa
'I want that taste Disease', hawatosheki..eh sorry
hatutosheki... Utakuta mtu ana mke mzuri, unywele
hadi mgongoni, shape kama kachorwa na
bikari, kamuoa yuko home lakini akiwa nje ukipepe kama kawa, na anacheat na mwanamke ambaye
wengine hata huelewi kafuata nini maana wako
below Standard hata za mkewe,
Mwanamke ana
Chunusi nyingi kuliko Vinyweleo, wakati mkewe
chuma cha pua yaani TBS ya mapenzi hakuna
kabisa...
Wa ukweli yuko home lakini bado anataka kujua Taste ya hii mpya aliyoiona ikoje na akishatest
basi, roho inatulia macho yanasaka taste
mpya.
Tukifanikiwa kupona '' I want that taste Disease''
hakuna viumbe tunajua kupenda kama sisi wanaume
na tutawapenda nyie wadada hadi
mshangae na kuota vipele vya baridi, lakini shida ndo hiyo, asilimia 95 au zaidi tunaumwa,
mke kibonge
tunacheat na Miss Ukonga, hata haijulikani
Hobby yetu ni Mifupa au Nyama. Eh Mwenyezi Mungu
saidia macho yetu yaache kuona sana na turidhike na
Taste moja na sio kila Taste maana Safari
sisi, Tusker Sisi na Balimi sisi,absolutely no Choice...Wanaume msinichukie,kukubali udhaifu ni
nusu ya Kupona udhaifu huo.

Ww jamaa muongo sana.hizi asilimia 95 ya wanao umwa umezithibitisha wapi?.na wanaumwa nn .acha watu wale maisha ,ni mafupi sana.ukiuliza watu wanaogopa ugonjwa gani,watakwambia kansa na Ini .ukimwi ni wameizoea
 
Raha ya chakula apike mkeo lakini siku akigoma sio tabu kwenda kula kwa mamantilie[emoji54] [emoji6]
 
Mwanaume hajaumbiwa agonge demu mmoja ukiona unaridhika nammoja ujue unamatatizo kwanzia wadudu, wanyama, samaki wote dume lazima ashughulikie majike mengi
 
Back
Top Bottom