Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo wengi bado hawana elimu ya malezi ya macho na hili ndio tatizo kubwa,kila mtu ajue kwamba milango yote ya fahamu ina malezi yake.Kwabahati mbaya inabidi uwe mtu wa kutafakari sana sio kila mda ambao huna kazi unataka utafute mtu wa kupiga nae makelele.Na kama watu hawafahamu ni kwamba hakuna uchawi mbaya kama uzinifu maana unajiroga mwenyewe mpaka mwisho wa maisha yako.Wanaume wanaumwa ugonjwa maarufu unaitwa
'I want that taste Disease', hawatosheki..eh sorry
hatutosheki... Utakuta mtu ana mke mzuri, unywele
hadi mgongoni, shape kama kachorwa na
bikari, kamuoa yuko home lakini akiwa nje ukipepe kama kawa, na anacheat na mwanamke ambaye
wengine hata huelewi kafuata nini maana wako
below Standard hata za mkewe,
Mwanamke ana
Chunusi nyingi kuliko Vinyweleo, wakati mkewe
chuma cha pua yaani TBS ya mapenzi hakuna
kabisa...
Wa ukweli yuko home lakini bado anataka kujua Taste ya hii mpya aliyoiona ikoje na akishatest
basi, roho inatulia macho yanasaka taste
mpya.
Tukifanikiwa kupona '' I want that taste Disease''
hakuna viumbe tunajua kupenda kama sisi wanaume
na tutawapenda nyie wadada hadi
mshangae na kuota vipele vya baridi, lakini shida ndo hiyo, asilimia 95 au zaidi tunaumwa,
mke kibonge
tunacheat na Miss Ukonga, hata haijulikani
Hobby yetu ni Mifupa au Nyama. Eh Mwenyezi Mungu
saidia macho yetu yaache kuona sana na turidhike na
Taste moja na sio kila Taste maana Safari
sisi, Tusker Sisi na Balimi sisi,absolutely no Choice...Wanaume msinichukie,kukubali udhaifu ni
nusu ya Kupona udhaifu huo.
yapi tena mkuu?Yaliyonikuta sio madogo asee
Adam aliumbiwa ‘’HAWA‘’ na si ‘’HUYU‘’.....🙂🙂
Mwanaume ni Mwanaume na demu atabaki demu tuu..
katika vitu ambavyo sitakaa niamini eti kugegeda ni dhambi,hawajanipata kwa kweli maana tangu vitabu vinaanza ibahimu mwenyewe alifanya tunayoyafanya ila sijawahi kuona walipoandika kuwa kafanya dhambi,ila sisi vihelehele vimetujaa kusema eti kugegeda ni dhambi,binadamu tuache unafiki,mkuu mwenyewe kasema tugegedane kwa sana!
Ukiona unaridhika na mkeo, ujue una matatizo kwenye mfumo wako wa fahamu.
Labda ndio tulivyoumbwa mkuu
Tatizo wengi bado hawana elimu ya malezi ya macho na hili ndio tatizo kubwa,kila mtu ajue kwamba milango yote ya fahamu ina malezi yake.Kwabahati mbaya inabidi uwe mtu wa kutafakari sana sio kila mda ambao huna kazi unataka utafute mtu wa kupiga nae makelele.Na kama watu hawafahamu ni kwamba hakuna uchawi mbaya kama uzinifu maana unajiroga mwenyewe mpaka mwisho wa maisha yako.
Kufanya mapenzi na mwanamke zaidi ya mmoja ni tatizo kubwa sana na kama usipoacha unapata mikosi ambayo kuigundua kwake ni vigumu sana.Kama kijana umetoka kwenye familia ya kimasiki na una ndoto za kuwa na maisha mazuri lakini kwabahati mbaya ukajiingiza kwenye uzinzi,kamari na ushirikina maisha yako yatakua na matatizo sana.Halafu hata kama mke wako mzuri vipi ukitengeneza mazingira ya kupata mchepuko ambao una sura ngumu kama fenesi basi utamchukia mke wako sana.Hii inatokana kwamba mda ambao unakutana na mchepuko hua ni mda wa kufurahi tu kwasababu uanaonana nae kwa mda mchache sana tena kwamda ambao unataka kufurahi.Lakini mke wako uko nae mda mwingi ambao kuna mambo ya kufurahisha na ya kuchukiza basi kitendo cha kukutana na mchepuko tu utakumbuka mambo mawili yafuatao;
(a) Mauzi na kero za mke wako
(b) Furaha,raha na mambo mazuri na yakufurahisha ya mchepuko
Nakwakua unakua unataka kufurahi na kusahau kero za mkeo basi mchepuko utakufurahisha sana kwani unajua ndicho kitu ulichokifata kwake kwa mda huo.Nakwakua nayeye anataka kutengeneza CV yake nzuri ya kimapenzi kwako kwakua anatumaini anaweza kutuma maombi ya ndoa kwako kwa siku zijazo basi utapewa huduma kama mfalme.NB;LIMBWATA REMAIN COSTANT