Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Missing u sumbaiHahahahaha.....
Mkuu alieturoga kafa amna jinsiWanaume wanaumwa ugonjwa maarufu unaitwa
'I want that taste Disease', hawatosheki..eh sorry
hatutosheki... Utakuta mtu ana mke mzuri, unywele
hadi mgongoni, shape kama kachorwa na
bikari, kamuoa yuko home lakini akiwa nje ukipepe kama kawa, na anacheat na mwanamke ambaye
wengine hata huelewi kafuata nini maana wako
below Standard hata za mkewe,
Mwanamke ana
Chunusi nyingi kuliko Vinyweleo, wakati mkewe
chuma cha pua yaani TBS ya mapenzi hakuna
kabisa...
Wa ukweli yuko home lakini bado anataka kujua Taste ya hii mpya aliyoiona ikoje na akishatest
basi, roho inatulia macho yanasaka taste
mpya.
Tukifanikiwa kupona '' I want that taste Disease''
hakuna viumbe tunajua kupenda kama sisi wanaume
na tutawapenda nyie wadada hadi
mshangae na kuota vipele vya baridi, lakini shida ndo hiyo, asilimia 95 au zaidi tunaumwa,
mke kibonge
tunacheat na Miss Ukonga, hata haijulikani
Hobby yetu ni Mifupa au Nyama. Eh Mwenyezi Mungu
saidia macho yetu yaache kuona sana na turidhike na
Taste moja na sio kila Taste maana Safari
sisi, Tusker Sisi na Balimi sisi,absolutely no Choice...Wanaume msinichukie,kukubali udhaifu ni
nusu ya Kupona udhaifu huo.