Wanaume msinichukie kwa huu ukweli ninaotoa hapa

Uwe na huo ugonjwa alafu kazi uwe unaiweza sio kuchafuachafua mabinti wa watu. Kagoli kamoja miguu juu kama mende, chaliiiiii.
 
Mi huo mchezo niliuacha siku mke wangu aliponifumania halafu akanambia" Baba Kd utazunguka bucha zote lkn nyama ni ile ile....."
 
vyote ulivyoandika kwa kifupi tunaita USHABABI mwanaume kaumbiwa wanawake ila mwanamke hajaumbiwa wanaume so kwangu ni sahihi wanaume kuwa hivyo,yaani siku hz ukitembea na mabinti 20 tu shida wakati nabii suleimani alikuwa na wanawake dahari
Kwaiyo wewe kati ya mambo yoote aliyoyafanya Nabii Suleiman umeliona hilo tu la wanawake wengi? Badilika unajiingiza gharama za bure vibandiko ndo ivyo ivyo kinachokuzuzua ni ulimbukeni wa kutaka kuonekana mchovyaji
 
haaaa haaa haaa ushauri mzuri ila sana na kwa dhati nimeamua kuacha kabisa.......ndio kuacha kabisa kuingia jf ili nisipate ushauri kama wako...wanawake watamu jamani hasa umkute ambae umembabatiza tu hakuwa na lengo la kusex. Kapapuchi kanakuwa kama mdomo wa chupa ya soda
 
Uwe na huo ugonjwa alafu kazi uwe unaiweza sio kuchafuachafua mabinti wa watu. Kagoli kamoja miguu juu kama mende, chaliiiiii.
Hata Jogoo anamaliza kazi kwa sekunde tano tu alafu jike anaridhika
 
hivyo ndivyo tulivo ,,,,,,tamaa imetuzidi na ndio nature yetu
 
Mi huo mchezo niliuacha siku mke wangu aliponifumania halafu akanambia" Baba Kd utazunguka bucha zote lkn nyama ni ile ile....."
Duh, kwahiyo wife kakuchimbia mkwara mpaka umenyooka
 
Adam aliumbiwa ‘’HAWA‘’ na si ‘’HUYU‘’.....🙂🙂
 
vyote ulivyoandika kwa kifupi tunaita USHABABI mwanaume kaumbiwa wanawake ila mwanamke hajaumbiwa wanaume so kwangu ni sahihi wanaume kuwa hivyo,yaani siku hz ukitembea na mabinti 20 tu shida wakati nabii suleimani alikuwa na wanawake dahari
Mwanaume ni Mwanaume na demu atabaki demu tuu..
 
Ndiyo! Yametumwa na ibilisi (shetani) kutoka kuzimu. Kila dhambi afanyayo mwanadamu nyuma yake yapo mapepo yanayo-influence kutendwa dhambi hiyo.
katika vitu ambavyo sitakaa niamini eti kugegeda ni dhambi,hawajanipata kwa kweli maana tangu vitabu vinaanza ibahimu mwenyewe alifanya tunayoyafanya ila sijawahi kuona walipoandika kuwa kafanya dhambi,ila sisi vihelehele vimetujaa kusema eti kugegeda ni dhambi,binadamu tuache unafiki,mkuu mwenyewe kasema tugegedane kwa sana!
 
Alafu wanachosha kweli yani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…