Wanaume msinichukie kwa huu ukweli ninaotoa hapa

STUNTER unatafuta KIK kwa wadada au? Maana kwa uzi huu lazima wadada wote humu wakazie
 
Tatizo wengi bado hawana elimu ya malezi ya macho na hili ndio tatizo kubwa,kila mtu ajue kwamba milango yote ya fahamu ina malezi yake.Kwabahati mbaya inabidi uwe mtu wa kutafakari sana sio kila mda ambao huna kazi unataka utafute mtu wa kupiga nae makelele.Na kama watu hawafahamu ni kwamba hakuna uchawi mbaya kama uzinifu maana unajiroga mwenyewe mpaka mwisho wa maisha yako.
Kufanya mapenzi na mwanamke zaidi ya mmoja ni tatizo kubwa sana na kama usipoacha unapata mikosi ambayo kuigundua kwake ni vigumu sana.Kama kijana umetoka kwenye familia ya kimasiki na una ndoto za kuwa na maisha mazuri lakini kwabahati mbaya ukajiingiza kwenye uzinzi,kamari na ushirikina maisha yako yatakua na matatizo sana.Halafu hata kama mke wako mzuri vipi ukitengeneza mazingira ya kupata mchepuko ambao una sura ngumu kama fenesi basi utamchukia mke wako sana.Hii inatokana kwamba mda ambao unakutana na mchepuko hua ni mda wa kufurahi tu kwasababu uanaonana nae kwa mda mchache sana tena kwamda ambao unataka kufurahi.Lakini mke wako uko nae mda mwingi ambao kuna mambo ya kufurahisha na ya kuchukiza basi kitendo cha kukutana na mchepuko tu utakumbuka mambo mawili yafuatao;
(a) Mauzi na kero za mke wako
(b) Furaha,raha na mambo mazuri na yakufurahisha ya mchepuko
Nakwakua unakua unataka kufurahi na kusahau kero za mkeo basi mchepuko utakufurahisha sana kwani unajua ndicho kitu ulichokifata kwake kwa mda huo.Nakwakua nayeye anataka kutengeneza CV yake nzuri ya kimapenzi kwako kwakua anatumaini anaweza kutuma maombi ya ndoa kwako kwa siku zijazo basi utapewa huduma kama mfalme.NB;LIMBWATA REMAIN COSTANT
 
ujinga tu maana nakumbuka kabla sijaoa na baada ya kuoa sina time zaidi ya mke wangu NADHANI FACTOR KUBWA WENGI WETU HATUNA FIKRA ZA MBELE
TUMERIDHIKA NA HALI ZETU KAMSHAHARA KA ONE MILLION KANAKUPELEKESHA mtaani yeyote ukiona unatamani uzamishe ila UKIWA BUSY NA UNA MALENGO MAKUBWA wallaah wanawake watakaa mbali nawe maana kuichomoa elfu tano yako nimpe itakuuma LABDA IPO KWANGU TU
 


haaaaa haaaa haaaa waambie ukweli shababi
 


wazo zuri sasa nataka utushauri tufanyeje,tupunguze kidogo madem au tuache kuingia jf
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…