Wanaume msinichukie kwa huu ukweli ninaotoa hapa

Mkuu alieturoga kafa amna jinsi
 
Trust me katika hili sijawahi kuwaelewa wanaume wanataka nini hasa
 
Mtoa Mada ugomvi wake ni Wanaume tu sijui Dadake kapewa Talaka? thread zake nyingi ni kuponda Mameni tu i don't know why!
 
kuna uchochezi hapa kwa hii thread...!!!
 
Kweli mtu apiga leo kesho hata kumuona hataki wakti kamuinda kicli wki nzma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…