Sisi wanaume huwa tunapiga panapo uma ili papone upesi... Ni vile tuko smart na makini kwa tunachoamua kufanya... Huwa hatukurupuki kama ile sehemu ya ubavu wetu mmoja iliyofanywa kua msaidizi wetu...Kwani sisi wanawake mmetuweka kwenye kundi gani? Mnatuonaje yaan? Mbali na kuwazaa kuwalea mkakua kwani sisi wanawake mnatuonaje onaje....mfano Mimi wakiniuliza wanaume unawaonaje onaje...nitawajibu nawaona kama nyumbu....maana tabia ya nyumbu ni kusahau ...akianza fukuzwa na simba anakimbia dakika moja then anastuck ashasahau kuwa alikuwa anafukuzwa na simba ivo anajishangaa kwa kitendo chake cha kukimbia pasipo sababu....ivi mnakumbuka kweli kwamba sisi ni mama zenu kweli? Sijui mnatuonaje yaan
Una uhakika huna ubavu Mwingine au swagz tu?Sisi wanaume huwa tunapiga panapo uma ili papone upesi... Ni vile tuko smart na makini kwa tunachoamua kufanya... Huwa hatukurupuki kama ile sehemu ya ubavu wetu mmoja iliyofanywa kua msaidizi wetu...
So mena re no longer dogs, they are wilderbeasts 🤣🤣🤣🤣🤣Kwani sisi wanawake mmetuweka kwenye kundi gani? Mnatuonaje yaan? Mbali na kuwazaa kuwalea mkakua kwani sisi wanawake mnatuonaje onaje....mfano Mimi wakiniuliza wanaume unawaonaje onaje...nitawajibu nawaona kama nyumbu....maana tabia ya nyumbu ni kusahau ...akianza fukuzwa na simba anakimbia dakika moja then anastuck ashasahau kuwa alikuwa anafukuzwa na simba ivo anajishangaa kwa kitendo chake cha kukimbia pasipo sababu....ivi mnakumbuka kweli kwamba sisi ni mama zenu kweli? Sijui mnatuonaje yaan
Kwani sisi wanawake mmetuweka kwenye kundi gani? Mnatuonaje yaan? Mbali na kuwazaa kuwalea mkakua kwani sisi wanawake mnatuonaje onaje....mfano Mimi wakiniuliza wanaume unawaonaje onaje...nitawajibu nawaona kama nyumbu....maana tabia ya nyumbu ni kusahau ...akianza fukuzwa na simba anakimbia dakika moja then anastuck ashasahau kuwa alikuwa anafukuzwa na simba ivo anajishangaa kwa kitendo chake cha kukimbia pasipo sababu....ivi mnakumbuka kweli kwamba sisi ni mama zenu kweli? Sijui mnatuonaje yaan
😘😘aisee,teAmo sana mkuuUmewaongelea Wavulana na sio Wanaume,pia sio Wanaume wote wana tabia zinazo fanana,
Nikija kwenye mtazamo wangu ni kwamba,Wanawake ni watu muhimu sana kwenye familia,kumbuka familia bora ndio hujenga taifa bora.