Wanaume mtujibu

Wanaume mtujibu

Beesmom

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2016
Posts
17,202
Reaction score
28,732
Kwani sisi wanawake mmetuweka kwenye kundi gani? Mnatuonaje yaani? Mbali na kuwazaa, kuwalea mkakua, kwani sisi wanawake mnatuonaje onaje?

Mfano mimi wakiniuliza wanaume unawaonaje onaje, nitawajibu nawaona kama nyumbu! Maana tabia ya nyumbu ni kusahau, akianza fukuzwa na simba anakimbia dakika moja halafu anaganda, ashasahau kuwa alikuwa anafukuzwa na simba!

Hivyo anajishangaa kwa kitendo chake cha kukimbia pasipo sababu!

Hivi mnakumbuka kweli kwamba sisi ni mama zenu kweli? Sijui mnatuonaje yaani.
 
Kwani sisi wanawake mmetuweka kwenye kundi gani? Mnatuonaje yaan? Mbali na kuwazaa kuwalea mkakua kwani sisi wanawake mnatuonaje onaje....mfano Mimi wakiniuliza wanaume unawaonaje onaje...nitawajibu nawaona kama nyumbu....maana tabia ya nyumbu ni kusahau ...akianza fukuzwa na simba anakimbia dakika moja then anastuck ashasahau kuwa alikuwa anafukuzwa na simba ivo anajishangaa kwa kitendo chake cha kukimbia pasipo sababu....ivi mnakumbuka kweli kwamba sisi ni mama zenu kweli? Sijui mnatuonaje yaan
Sisi wanaume huwa tunapiga panapo uma ili papone upesi... Ni vile tuko smart na makini kwa tunachoamua kufanya... Huwa hatukurupuki kama ile sehemu ya ubavu wetu mmoja iliyofanywa kua msaidizi wetu...
 
Una uhakika huna ubavu Mwingine au swagz tu?
 
Kwani sisi wanawake mmetuweka kwenye kundi gani? Mnatuonaje yaan? Mbali na kuwazaa kuwalea mkakua kwani sisi wanawake mnatuonaje onaje....mfano Mimi wakiniuliza wanaume unawaonaje onaje...nitawajibu nawaona kama nyumbu....maana tabia ya nyumbu ni kusahau ...akianza fukuzwa na simba anakimbia dakika moja then anastuck ashasahau kuwa alikuwa anafukuzwa na simba ivo anajishangaa kwa kitendo chake cha kukimbia pasipo sababu....ivi mnakumbuka kweli kwamba sisi ni mama zenu kweli? Sijui mnatuonaje yaan
So mena re no longer dogs, they are wilderbeasts 🤣🤣🤣🤣🤣
 
hao nyumbu unaowaongelea kuna watu wanafaidika uwepo wao so acha dharau
 
So mena re no longer dogs, they are wilderbeasts 🤣🤣🤣🤣🤣
Mjomba, mjomba, mjombaaa...taratibu tafadhali.....mmoja asitutukanishe wote mwee
 
Umewaongelea Wavulana na sio Wanaume,pia sio Wanaume wote wana tabia zinazo fanana,

Nikija kwenye mtazamo wangu ni kwamba,Wanawake ni watu muhimu sana kwenye familia,kumbuka familia bora ndio hujenga taifa bora.
😘😘aisee,teAmo sana mkuu
 
Kwa kuchukulia mfano wa mama Sasha basi wanawake wanawake ni viumbe wavumilivu sana, pia ni watu wenye ufahamu na wacharikaji, ubaya ni kwamba na umalaya wangu wote sijapata dame hata nusu ya mama sasha, nitachepuka tu lakini najua wapi naenda kutulia
 
Back
Top Bottom