Beesmom
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 17,202
- 28,732
Kwani sisi wanawake mmetuweka kwenye kundi gani? Mnatuonaje yaani? Mbali na kuwazaa, kuwalea mkakua, kwani sisi wanawake mnatuonaje onaje?
Mfano mimi wakiniuliza wanaume unawaonaje onaje, nitawajibu nawaona kama nyumbu! Maana tabia ya nyumbu ni kusahau, akianza fukuzwa na simba anakimbia dakika moja halafu anaganda, ashasahau kuwa alikuwa anafukuzwa na simba!
Hivyo anajishangaa kwa kitendo chake cha kukimbia pasipo sababu!
Hivi mnakumbuka kweli kwamba sisi ni mama zenu kweli? Sijui mnatuonaje yaani.