Wanaume muda mwingine wanaboa sana

Wanaume muda mwingine wanaboa sana

Kama ni hivo basi nmesema...
Chaguo lako sio sahihi, ulikubar kuweka urafi na huyo jamaa but nikilaza wa kutupa,
Najua alikuchapa fix ukajaa, ukaona atakua mtu wa maana kwako, kumbe mzinzi tu sex kafanya Mungu wake.
Tangu tufahamiane hajawahi kunipa hata senti na wala sijawahi muomba,kaniomba kaja mwenyewe ,nimetumia gharama zangu kumhudumia,naenda kumchukulia chumba kwa gharama zangu anakataa,mmmmh hata kama

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiwa unapagawa na vitu vya kijinga,
Wataendelea kukufanyia hvo daima.
Being good judgemental, utajua mwanaume anae faa na asiye faa.
Mkuu ndiyo maana Mimi sipendi kutembelewa na mtu hususani tuliokutana kwenye mtandao[emoji23]. Kwa sababu siku hiyo atataka ale papuchi aniache nikiwaza imekuwaje jamani nikaachia kirahisi rahisi. Ila na wanaume mmezidi kulazimisha vitu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa umemuwahi tu lazima atakuja kuanzisha uzi...
Ila hizi papuchi 700km unafata pauchi dah...
 
Kwanza unatakiwa kuelewa ,mpaka huyo kaka anatoka uko km kadhaa mpaka kwako,ni lazima na ww ujiongeze

Ungesema amekataa kucheki afya ningekuona wa maana sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani ni lazima mlale pamoja siku hiyo? Lazima mpeane muda kwanza: mtu mnakutana uso kwa uso siku hiyo anataka kitu khaaaa! Kwangu hamna

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ndiyo maana Mimi sipendi kutembelewa na mtu hususani tuliokutana kwenye mtandao[emoji23]. Kwa sababu siku hiyo atataka ale papuchi aniache nikiwaza imekuwaje jamani nikaachia kirahisi rahisi. Ila na wanaume mmezidi kulazimisha vitu.
Hahha issue ni kumwambia mapema kabla hajaja.. sio mnachati vizuri PM na ahadi za kupeana mambo alafu utegemee akikuona atavumilia 😄😄 labda uwe angani
 
Back
Top Bottom