CaprePoint
Member
- Dec 30, 2018
- 46
- 96
Kwani wakati anakuja mlikubaliana atalala wapi!?
Kama ni kulala kitanda kimoja na hamna kinachoendelea sioni tatizo 😊😊
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani wakati anakuja mlikubaliana atalala wapi!?
Mkuu ndiyo maana Mimi sipendi kutembelewa na mtu hususani tuliokutana kwenye mtandao[emoji23]. Kwa sababu siku hiyo atataka ale papuchi aniache nikiwaza imekuwaje jamani nikaachia kirahisi rahisi. Ila na wanaume mmezidi kulazimisha vitu.Kuweni na huruma hivyo... km 700 sio mchezo
Kwanza unatakiwa kuelewa ,mpaka huyo kaka anatoka uko km kadhaa mpaka kwako,ni lazima na ww ujiongeze
Utalala guest usiku ukifika? Au ndiyo utaanza kusema bora ulale chini ??
Shetani usiwe wewe uliyemtembeza mtoto wa watu kilomita 700+ afu umnyime papuchi tujekuwa sie Good boys wa mamaAkija jf lazima akuandikie uzi akupondeee mashetaniii tu nyie wanaume mxeeeeew
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mtu alifunga safari dar hadi Arusha kufuata Papa. [emoji23][emoji23][emoji23]
Nalalaje guest wakati nimekuja kwako!Utalala guest usiku ukifika? Au ndiyo utaanza kusema bora ulale chini ??
Mlale kitanda kimoja na hakuna kinachoendelea? Mwanaume kamili au wale wengine hahahahahKwani wakati anakuja mlikubaliana atalala wapi!?
Kama ni kulala kitanda kimoja na hamna kinachoendelea sioni tatizo [emoji4][emoji4]
Tangu tufahamiane hajawahi kunipa hata senti na wala sijawahi muomba,kaniomba kaja mwenyewe ,nimetumia gharama zangu kumhudumia,naenda kumchukulia chumba kwa gharama zangu anakataa,mmmmh hata kama
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahhahaa kweli akili zenu ni sare sare.
Mkuu ndiyo maana Mimi sipendi kutembelewa na mtu hususani tuliokutana kwenye mtandao[emoji23]. Kwa sababu siku hiyo atataka ale papuchi aniache nikiwaza imekuwaje jamani nikaachia kirahisi rahisi. Ila na wanaume mmezidi kulazimisha vitu.
Kwani ni lazima mlale pamoja siku hiyo? Lazima mpeane muda kwanza: mtu mnakutana uso kwa uso siku hiyo anataka kitu khaaaa! Kwangu hamnaKwanza unatakiwa kuelewa ,mpaka huyo kaka anatoka uko km kadhaa mpaka kwako,ni lazima na ww ujiongeze
Ungesema amekataa kucheki afya ningekuona wa maana sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwan lazima siku hiyo?Shetani usiwe wewe uliyemtembeza mtoto wa watu kilomita 700+ afu umnyime papuchi tujekuwa sie Good boys wa mama
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahha issue ni kumwambia mapema kabla hajaja.. sio mnachati vizuri PM na ahadi za kupeana mambo alafu utegemee akikuona atavumilia 😄😄 labda uwe anganiMkuu ndiyo maana Mimi sipendi kutembelewa na mtu hususani tuliokutana kwenye mtandao[emoji23]. Kwa sababu siku hiyo atataka ale papuchi aniache nikiwaza imekuwaje jamani nikaachia kirahisi rahisi. Ila na wanaume mmezidi kulazimisha vitu.
Hahha si kuku wake ana uhakika atamla tu... ila huyu mtu angekuvutia ungemtafutia hotel kweli ya kulala nje!? Just curiousMlale kitanda kimoja na hakuna kinachoendelea? Mwanaume kamili au wale wengine hahahahah
Sent using Jamii Forums mobile app