Mastamind
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 1,304
- 830
Zarau hiz,,Mimi nimezaa na mdada mmoja ambae kwa sasa kaolewa na anaishi na mwanangu na huyo mumewe,hivyo mawasiliano yangu yote kuhusu malezi ya mtoto huyo hupitia kwa mumewe,na kama kuna siku nataka kumuona mtoto namuatifi mumewe ambae ndio atamjulisha huyo mzazi mwenzangu ambae ni mkewe.Sina mawasiliano na huyo mzazi mwenzangu ya moja kwa moja