Wanaume Muwe Mnaangalia na Wanawake wa Kuwaachia Mbegu Zenu.

Umesahau damu yako lakini. Ustaarabu ni akutafute mmalizane huku nje
Tatizo lenu ni kwenda na wakati! Well Mimi napenda watoto na hata mtu yeyote akiniletea nafurahi ila tusigeneralise na kutegeana! Kuna matangazo mengi JF wanaotafuta sperm donor ukizaa huyo wako
 


Raha alipata na hela alipewa wakamalizana
 
Kawaida sana, si bora hajaamua kukaua hako kamalaika.
 
Tatizo lenu ni kwenda na wakati! Well Mimi napenda watoto na hata mtu yeyote akiniletea nafurahi ila tusigeneralise na kutegeana! Kuna matangazo mengi JF wanaotafuta sperm donor ukizaa huyo wako
Mara nyingi wa kutegeana ndo wanakuaga na hizo drama
 
Tatizo wakati wa kumwaga mbegu huwa shida kumwagia nje ule utamu lazima utazaa hata na mwendawazimu. Wanawake nao ukiona jamaa anataka kumwaga mbegu si unampushi akojolee nje we unajua mme wa mtu bado unataka akuzalishe tu
Unadhani kumpush MTU ni kazi nyepesi!??
 
Huyo shosti yako angekuwa na mume pasingekalika hata angejitetea namna gani asingeeleweka.

Wanawake wengine balaa unawezaje kutupa mtoto wako getini kwa mwanamke mwingine kisa hakuna malezi. Aise napambana na mwanangu hadi kieleweke ole wake huko baadae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…