Hata Mimi nisingeelewa kirahisi kama yule mwanamke kakosea NYUMBA ningejua tu mume wangu kazaa kweli nje.Huyo shosti yako angekuwa na mume pasingekalika hata angejitetea namna gani asingeeleweka.
Wanawake wengine balaa unawezaje kutupa mtoto wako getini kwa mwanamke mwingine kisa hakuna malezi. Aise napambana na mwanangu hadi kieleweke ole wake huko baadae
kuna wengine hawana makosa Unakuta amevumilia sana na maisha ni magumu anaona hana jinsi!! Kwa upande mwingine alikua sahihi kabisa. wanawake ni watu waliopewa uvumilivu akishindwa ndo inakua hivo..!! masikini daah hadi akachanganyikiwa kabisa kashindwa kujua jamaa alisha hama!!Huyo ni chizi kabisa. Yani mi nikamsumbue mwanangu na mausifiri na jua kisa baba ake anazingua? Hata mwanaume azingue vipi siwezi muweka mwanangu kwenye nafasi ya kumtumia yeye kwa baba ake
Sisi wavumilivu sana lakini huwa wagumu sana kuacha watoto wetu nyuma kwenye mazingira kama hayo ya kumsusa.kuna wengine hawana makosa Unakuta amevumilia sana na maisha ni magumua anaona hana jinsi!! Kwa upande mwingine alikua sahihi kabisa. wanawake ni watu waliopewa uvumilivu akishindwa ndo inakua hivo..!! masikini daah hadi akachanganyikiwa kabisa kashindwa kujua jamaa alisha hama!!
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] nouma sana arifuuTatizo ni akili za kichwa cha chini.
Kikishafanya maamuzi; kichwa cha juu hakina usemi ni kutekeleza tu.
Kweli nyumba zipo kibao akosee kuja kwenu hahahahahaHata Mimi nisingeelewa kirahisi kama yule mwanamke kakosea NYUMBA ningejua tu mume wangu kazaa kweli nje.
Kuacha tu mtoto alelewe na mwanamke mwenzio sio jambo rahisi.
Yaah ni kweli kabisa!! japo kuna wanawake wengine wakorofi na wana kauli mbaya mpaka jamaa anaacha kutoa matumizi!!Sisi wavumilivu sana lakini huwa wagumu sana kuacha watoto wetu nyuma kwenye mazingira kama hayo ya kumsusa.
Wengine sasa wanataka kukomoa ndo wanafanya kama hivyo. Au ukute ulimdanganya. Kuna wanawake hawajui kusamehe na kukubaliana na hali kirahisiKweli nyumba zipo kibao akosee kuja kwenu hahahahaha
Mtoto wangu atakula ninachokula mie nikiwa hai
Lakini usipotoa anaeteseka ni mwanao mkuu.Yaah ni kweli kabisa!! japo kuna wanawake wengine wakorofi na wana kauli mbaya mpaka jamaa anaacha kutoa matumizi!!
Wengine wanapoomba hela za matumizi nilishawasikia wanawake kadhaa wanaomba pesa ya matumiz na kauli mbaya hata mimi nikasema ningekua ndo baba wa mtoto Sitoi hata mia!!
Si halali maana umeisha lipiaUsisahau wengine tunawatoa Badoo unalipa hela yako unasepa kumbe umeacha kiumbe hapo! Je, ni halali kumlete kwako umlee wakati mlimalizana?
Tatizo wakati wa kumwaga mbegu huwa shida kumwagia nje ule utamu lazima utazaa hata na mwendawazimu. Wanawake nao ukiona jamaa anataka kumwaga mbegu si unampushi akojolee nje we unajua mme wa mtu bado unataka akuzalishe tu
Ni ujinga huo na upumbavu mkubwa.alibakwa?wakati anabeba mimba bila ndoa hakua na akili?upumbavu wa kulenga wanaume ili kumaliza matatizo kwa kigezo cha mtoto utasababisha kua na kizazi kisicho na malezi sahihi.Kama ametia mimba mchepuko na matumizi hatoi, acha avunjiwe ndoa!
bahati yake alidanganya mahali anapoishi.