Wanaume Muwe Mnaangalia na Wanawake wa Kuwaachia Mbegu Zenu.

Hivi kwanini watu wanaogopa kuwa na wake wengi kihalali ili kuepusha hizi aibu?
Mimi nikitaka mke mwingine yanini nijifiche kama kweli nimeamua?
Oa hata watatu kabisa na waambie asiyetaka aondoke zake, kama huwezi kujizuia na kuishi na mke mmoja kwanini ujifiche na kuzaa nje huko baadae ulete ugomvi tu usiokuwa na maana kwenye familia yako?
 
Nilikuwa Natamani sana kuwa na Mke na Mtoto, ila kwa haya Ninayoyaona.. Bora Nife Bachelor..
 
Nyie wanawake ndo muache kujishikisha mimba mkidhan tutawaoa. Mtu unamchukua kama spare tyre yeye anataka awe tairi hasa hasa...ndo tunawatelekeza mnaanza kutusumbua pesa za matumiz na huku sisi tuna wake zetu
 
Maana yake ni kwamba alishakua tayari kwenda kuvunja ndoa ya yule baba mtoto bila kujali mwenzie ana mke. Pata picha huyo baba alimficha mkewe kuhusu kuzaa nje halafu ghafla anakuja kutupiwa kichanga cha miezi mine akilee na mkewe.
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Dah! Huo msala aisee, yaani utajiuliza huyo mwanamke anakupenda? Amakuchukia? Anawivu? Au kitugani sijui! Maana akishakuvunjia ndoa yeye ndio ataingia?
 
Kutunza wake wengi hawawezi na bado wanataka kula mbichi wanawake wengine
 
Nyie wanawake ndo muache kujishikisha mimba mkidhan tutawaoa. Mtu unamchukua kama spare tyre yeye anataka awe tairi hasa hasa...ndo tunawatelekeza mnaanza kutusumbua pesa za matumiz na huku sisi tuna wake zetu
Mimba ikiingia si inabidi tusaidiane mawazo ya nini cha kufanya jamani hata kama ulitegeshewa?
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Dah! Huo msala aisee, yaani utajiuliza huyo mwanamke anakupenda? Amakuchukia? Anawivu? Au kitugani sijui! Maana akishakuvunjia ndoa yeye ndio ataingia?
Wala hana mpango wa kuingia basi tu akukomeshe na huyo unaemfanya unampotezea yeye
 
Hiyo ni kesi ndogo sana kwangu, na ndoa haiwezi vunjika. Labda kwa wanaume wa Dar ndio inaweza ikawa tatizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…