Wanaume Muwe Mnaangalia na Wanawake wa Kuwaachia Mbegu Zenu.

Tunasaidiana mawazo vipi? Wewe mimba umejichukulia mwenyewe.sikukupa. mimi nlitaka tuenjoy kitendo tu lakini wewe unatega ili nitegeke.basi hiyo mimba endelea nayo na matokeo yake pia jichukulie tu. Mi sikupanga malezi.

Mimba ikiingia si inabidi tusaidiane mawazo ya nini cha kufanya jamani hata kama ulitegeshewa?
 
check your PM white...
 
Ni ujinga huo na upumbavu mkubwa.alibakwa?wakati anabeba mimba bila ndoa hakua na akili?upumbavu wa kulenga wanaume ili kumaliza matatizo kwa kigezo cha mtoto utasababisha kua na kizazi kisicho na malezi sahihi.
I'm not taking any of the two sides, ila uhalisia wote wanamakosa na sio mwanamke peke yake.

Mtu umeoa, ila bado unaenda kukaza nje peku peku, unategemea kupata nini kama sio mtoto?

An eye for an eye, acha avunjiwe ndoa!
 
I'm not taking any of the two sides, ila uhalisia wote wanamakosa na sio mwanamke peke yake.

Mtu umeoa, ila bado unaenda kukaza nje peku peku, unategemea kupata nini kama sio mtoto?

An eye for an eye, acha avunjiwe ndoa!
Utakua ni mmojawapo.unapoivunja huoni watoto wataishije?kukiwa na amani bila ugomvi hata huyu mtoto aliyezaliwa nje atatunzwa tu maana mimi kama mwanaume nina akili pia,mwanamke nizae nae lakini akawa na amani,hekima na busara siwezi kumtazama tu na mtoto nikaacha kutunza mtoto.kuna tabia za kishenzi tu za wanawake wengi kujibebesha mimba kwa malengo ya kutatua matatizo yao.narudia tena ni UPUMBAVU
 
Alikua sahihi ,na ukiona mwanamke alobeba mimba miezi tisa nakuzaa kwa uchungu kafikia hatua iyo hujua kosa sio lake...sobadala ya mwanaume kuchunguza mwanamke wa kuzaa naye.

Nadhan ingependeza kama. Mwanaume ukubali mimba na ueleee .... Usikute hapo mwanamke wa watu hana kazi ,huenda kubeba mimba ndiko kulimfanya aaache kazi au asijihusishe nakazi, akitegemea ahadi za uongo alizokua anapewa zitimizwe.

Kwaharaka haraka ndio maana nahuyo jamaa alihama Nyumba


Kwangu mimi..... mwanamke hanakosa, na alikua sahihi, isilokua uyo mwanaume ndo alipaswa kubeba wajibu wake kua Licha yakua kao ajur nje amezalisha

Na Mngemshaur aende Ustawi wa Jamii .
 
Acha mbwembwe zako mkuu, Nank asojua mwanamke mpaka anakupa uchi wake maana yake ameridhia hata kihisia?? Ulikua wapi kumsaidia ?? .

Aya toka amekuambia anamimba ulichukua hatua gani?? ...kazaa umechukua hatua gani???

Nyie ndo mnawapaga mimba mademu alafu akikuambia unaishia kumpiga mkwara "USINITAFUTE NITAKUUA"....

Hapa ndio wakuu wote wamikoa walipaswa wawe km makonda.

Wewe unajua kaacha mangapi .mangapi yamempita...kwa kubeba mimba yako ???? Nani kakuambia kitanda kinazaa haramu???
 
Unaonekana umechanganyikiwa...msiwe na tamaa msubili mpaka muolewe.chepukeni lakini kuzaa subirini ndoa naa ukiikosa kaa bila mtoto maana si wote wa kuolewa huku duniani.lakini usumbufu wa kipumbavu acheni kuwasumbua watu.shenzi type
 
Ndio wakome, waletwege hivyo hivyo ili tujue upuuzi wanaofanya huko nje.
 
Kuna wanaoacha, kuna kaka aliachiwa mtoto ofisini.
huo ulikuwa ni mkwara tu, ingawa i agree kuna some crazy ass baby mamas... Sometimes ni sisi wenyewe kutokana na matendo yetu we make these ladies act crazily, so the only option they are left with ni ku-act over the top to get our attention
 
Kutegesha mimba ni ushenzi.

Kukataa kutoa matumizi ya mwanao ni ushenzi.

Kuzaa na mwanamke mwingine wakati umeoa ni ushenzi.

Wote ni washenzi, na hakuna namna unaweza kumtetea mmoja kati yao!

Kama huwezi kucheza rafu in the shadows without leaving a trace ni bora utulie na mkeo.

Nothing more, nothing less!
 
Mmoja alizaa na mdogo angu alikuja kuwaacha mapacha wa miezi 9 usiku mlangoni kwa bimkubwa akakimbia mpaka leo hajawahi hata kuja kuwaangalia wanakaribia miaka mitano sa hivi, wanawake wengine hawana uchungu na watoto kabisa
 
Wote wajinga, kwani huyo mwanaume hakujijua ni mume wa mtu hadi atoke nje ya ndoa yake, tena kwa ufala akala peku!!

Hopefuly hajamletea mkewe na maradhi
Ni ujinga huo na upumbavu mkubwa.alibakwa?wakati anabeba mimba bila ndoa hakua na akili?upumbavu wa kulenga wanaume ili kumaliza matatizo kwa kigezo cha mtoto utasababisha kua na kizazi kisicho na malezi sahihi.
 
Teh wanakazania eti mdada atamvunjia ndoa mwenzie, hiyo ndoa mbona ishajivunjikia the moment mume kaenda kulala na hawara! Watu kuheshimu ndoa hawataki, wanavua tu suruali hovyo, afu wategemee michepuko ndo iwaheshimie ndoa zao pyeee. Afu bora hata tusingekuwa tunafunga ndoa ili tuwe huru zaidi kufanya ufuska. Kiapo cha commitment cha kazi gani if we belong to everyone?
 
Mtu katia mimba alafu hataki kutunza mwanae eti kisa ndoa. Hiyo ndoa ingekua muhimu asingecheza nje peku peku!

Atleast asingeacha traces!
 
Sijui mchepuko alikuwepo kwenye hicho kiapo!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…