Wanaume mwenye akili timamu hawezi kutembea na mke wa mtu

Mohammed wa 5

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2022
Posts
1,215
Reaction score
3,035
Katika dunia hii ukitaka kuishi vizuri acha vitu vifuatavyo.
 Wizi
 Utapeli
Wake za watu

Wanaume mwenye akili zako kabisa una date na mke wa mtu na una enjoy kabisa.
Me siwezi ata kuwa karibu na mke wa mtu wake wa marafiki zangu Sina ata ukaribu nao.

Kuna wanaume wengine ni vichaa kabisa,Wana endeshwa na ngono wanajua kabisa huyu mke wa mtu afu anaenda kulala ukouko.kweri ndo Mana matukio ya mauaji yanaongezeka Sana kwenye mapenzi.

Juzi wakati nipo lodge hapa Songea,mida ya jioni Giza lishaingia Kuna mwanamke amechanganyikiwa kisa amechelewa kutoka na anapo ishi ni mbali na pale,akawa anaropoka sijui mume wangu atanifanya Nini.sijui kilimkuta Nini alipofika kwake unaweza kuta saizi ni marehemu washauana uko.

Vijana Wana haki ya kukataa ndoa wanaona jinsi wake za watu wanavyoliwa uko mitaani.
 
Na mwanamke mwenye akili timamu hawezi zini nje ya ndoa yake...... Sasa kama mtu ni mama huruma atasaidiwaje? ....... Tafuteni wake wa kuoa kwa kutulia bila kuongozwa na tamaa........ Mwanaume ukiwa na mke wa namna hiyo fanya maamuzi magumu
 
Kwenye ndoa zenu kuna watoto wetu huko
Ni ukweli kabisa...kuna familia naifahamu tena kwa ushaidi wa walio nitangulia...ina watoto 8 kati ya hao ni mmoja tu ndo mtoto wa baba wa familia hiyo..wengine kila mmoja na baba yake...... wakati mzee alioa vizuri tu akazaa watoto na mke wa kwanza badae akamtimua mke wa kwanza na watoto wake akaoa anae endana nae!!
 
Zipo familia nyingi za hivyo kuna moja mke aliolewa akiwa tayari na mtoto mmoja, wapili na wa nne akazaa na mumewe. Watatu na wawili wa mwisho kila mmoja ana baba yake.
 
Kizuri kula na wenzako.

Acheni roho mbaya.

Mnataka wake za wenyewe wakunwe na nani? Ilhali waume zao wanarudi nyumbani wamechoka kwa kukamuliwa genye zote na michepukobyao???????
 
Na mwanamke mwenye akili timamu hawezi zini nje ya ndoa yake...... Sasa kama mtu ni mama huruma atasaidiwaje? ....... Tafuteni wake wa kuoa kwa kutulia bila kuongozwa na tamaa........ Mwanaume ukiwa na mke wa namna hiyo fanya maamuzi magumu
Tabia ya mtu ni dynamic sio static.

Utaoa mwanamke mwaminifu ila atakuja badilika.

Vitu vingi vinaweza changia mtu akabadilika marafiki, mazingira, kipato n.k.

Hakuna mtu anaeingia kwenye ndoa akiwa na nia thabiti ya kugawa nje.
 
Zipo familia nyingi za hivyo kuna moja mke aliolewa akiwa tayari na mtoto mmoja, wapili na wa nne akazaa na mumewe. Watatu na wawili wa mwisho kila mmoja ana baba yake.
Kuna wanaume wana dhalilishwa kwenye hizi ndoa we acha.....mtu anatembea zake njiani kwa kujiamini kumbe nje kashavuliwa nguo watu wanamchora tu
 
Katika dunia hii ukitaka kuishi vizuri acha vitu vifuatavyo.
 Wizi
 Utapeli
Wake za watu

Wanaume mwenye akili zako kabisa una date na mke wa mtu na una enjoy kabisa.
Me siwezi ata kuwa karibu na mke wa mtu wake wa marafiki zangu Sina ata ukaribu nao.

Kuna wanaume wengine ni vichaa kabisa,Wana endeshwa na ngono wanajua kabisa huyu mke wa mtu afu anaenda kulala ukouko.kweri ndo Mana matukio ya mauaji yanaongezeka Sana kwenye mapenzi.

Juzi wakati nipo lodge hapa Songea,mida ya jioni Giza lishaingia Kuna mwanamke amechanganyikiwa kisa amechelewa kutoka na anapo ishi ni mbali na pale,akawa anaropoka sijui mume wangu atanifanya Nini.sijui kilimkuta Nini alipofika kwake unaweza kuta saizi ni marehemu washauana uko.

Vijana Wana haki ya kukataa ndoa wanaona jinsi wake za watu wanavyoliwa uko mitaani.
Good
 
Mimi nishatembea na mke wa mtu Mara Moja ila huwa najutia Sana hicho kitendo.
Aisee sitokaa nirudie Tena kuzini na mke wa mwenzangu.
 
Tabia ya mtu ni dynamic sio static.

Utaoa mwanamke mwaminifu ila atakuja badilika.

Vitu vingi vinaweza changia mtu akabadilika marafiki, mazingira, kipato n.k.

Hakuna mtu anaeingia kwenye ndoa akiwa na nia thabiti ya kugawa nje.
Wewe ndio umeongea akili sasa.
Ndio maana sijawahig kuwa na mtazamo static towards a person..Na pale watu wanaposema usimwamimi mtu huwa sio kwa ubaya na kwa lengo kama hil..leo mwema kesho ana change ..wewe iman yako kwake static.....utaumia sanaaaa
 
Back
Top Bottom