Wanaume na dhana ya kutopenda mboga ya kabichi

Mboga inakua confussed?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kuelekea January!!! Mshaanza kujifaliji!!!!

Wabongo bhana eti kabich ni Tamuu[emoji23]Nan Alisema!!!!!!!
 

Haisee sijui kwa nini[emoji1787] me huwa nikiiona hata huwa nakosa hata hamu ya kula even kwa ndg na jamaa ambaye amepika hata kama niko na njaa kiasi gani naweza sema nimeshiba na katu hata waniforce vipi siwezi isogolea....aisee madaktari pls njoo hapa mtueleze kwa nini wanaume sisi hatupendi sana KABICHI hasa wa Dar[emoji15]
 
Wengi tuliowahi kula kabichi iliyopikwa kama supu ya utumbo huwezi kutulisha hiyo kitu, ila ukila iliyopatiwa kupikwa aise ni nzuri sana.
 
Kabichi mapishi tu, kuna jinsi inakua na viungo masala sijui nn....
Nyama yenyewe inasubiri.
Kuna jinsi wanapika wahindi, ile kabichi ni hataree...
 
Wewe tena upimwe kabisa
 
Mh mtu akipewa kabichi na asile huyo ni anachezea chakula kabisa
 
Kabichi ni mboga nzuri sana. Ni raphage inayosaidia mmengenyo Wa chakula pia inapunguza constipation ,
Kuto kuelewa tu
 
Nakumbuka ni mboga iliyokua inaleta ugomvi mkubwa sana nyumbani, Baba alkua haipendi hata kidogo.
Binafsi hata ukiichemsha nakula fresh tu. Na wanaaongoza kuila ni watu wa nyanda za juu kusini kama sikoseiπŸ™‚
 
Naichukia kabichi inanikumbusha sekondari A level pale Moshi Tech
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…