Wanaume na kubadili dini

Wanaume na kubadili dini

Mnataka 50%sasa mnafatwa mnalalama kuwa Kuna vyeo vimepingua kila mtu asimamie misingi yake tu😆😆😆😎
wanawake ambao bado tunataka kusmamiwa na mwanaume bado tupo tunaishi, mwanaume lazima awe kiongozi despite amenikuta na mahela yangu lakini lazima awe na sauti sasa ushabadili dini kunifuata unafikiri hapo kutakua na nn zaidi ya kupelekeshana
 
Wanaume wengi wanaofanya hivyo wanabadili dini kwa muda tu baadae anarudi kwenye dini yake ya zamani
 
😁😁😁Mi nlikuwa nimepigwa ban ndo imeisha Leo wiki nzima ni kama nlikuwa jela japo nlikuw na mda mwingi nlifanya kazi ya watu nlikamilisha Kwa wakati maana jf inakula mda wangu sana!


Turudi kwenye mada: Kubadilisha dini ni ufala wa Karne ya 19 siwezi badili dini kisa mapenzi, itakaa unyama zaidi kama mtapatana wa dini Moja lkn pia kutofautiana dini kusiwanyime fursa ya kuishi pamoja kama mtakua mmependana
mimi sio mraibu sana japo iliniuma sana, sasa mna dini tofuat mnaishije?? ni kutafta wa dini yako
 
Kila mtu na choices zake maishani...

Mtu mzima kachagua kufuata dini nyingine, hajalazimishwa then waja mnahangaika...

Mimi watoto wangu nitawafundisha kupenda watu wengine,kutoiba etc

Dini watachagua wenyewe wakifika 18 years old

Hata wakiamua kufuata dini za wahindi sawa tu
huo n uamuzi wako hakuna wa kukuingulia lakini wanangu wa kiume nitawafundisha kujiamini na kuielewa thaman ya kua wa kiume na namna anatakiwa kua kama kiongoz na baba ajae
 
aione
Ni upuuzi na ujinga mwanaume mzima kichwa cha familia tarajiwa unabadili dini kisa uchi wa mwanamke. Ni upuuzi wa hali ya juu sana. Babu zako na bibi zako walizaliwa na walizikwa kwa imani hio wewe kwa ujinga wako tena kwa lianamke ambalo sio virgin unabadilisha dini. Haya ndio matatizo ya kutokua na imani dhabiti katika dini. Unaachaje dini ya baba yako na mama yako afu unafuata mlengo wa wazazi wa mtu mwingine?. Ndio masuala ya mtu kujiita mimi dini flani kumbe huna imani ndani yako, imani yako inapojaribiwa kidogo unaanguka kama chaufupi barnaba.
barnaba wa mama kimbo
 
Kinachozungumziwa ni mwanaume kuwa submissive kwa dini ya mwanamke.

Mwanamke ndo anatakiwa amfuate mwanaume.
Mwanamke hana dini.

Kama itashindikana mkaape bomani kila mtu asimame upande wake lakini si mwanaume kuhama dini yake, maana kinachosimama hapa ni upendo na wala sio dini zenu.
mwanaume anaye badili dini kisa uchi unatarajia anakua baba wa aina gani
 
Ah!!,Wapi.Demu ndio ahamie kwangu kwasababu siku zote Mwanaume atabaki Mwanaume na Mwanamke atabaki mwanamke na lazima atii kila Kidume nasema.Otherwise basi muoane wote wa imani moja,hata Kanisani kwetu Vijana huwa wanashauriwa hivyo,kuwa waoane wao kwa wao ili kuepusha wadada kubadili dini maana kwa vyovyote vile wanawake ni dhaifu tofauti na Wanaume.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
hii mada n senstive usikute anayekubishia ndio yupo kwenyw hio situation mwanaume ameumbwa kiongozi na nguzo ya familia we angalia familia nyingi ukiona baba hanamsimamo rudi kwa mwanamke uone
 
huo n uamuzi wako hakuna wa kukuingulia lakini wanangu wa kiume nitawafundisha kujiamini na kuielewa thaman ya kua wa kiume na namna anatakiwa kua kama kiongoz na baba ajae
Kumbe hakuna kuingilia uamuzi wa mtu?! Sasa mbona unataka kuingilia maamuzi ya mtu mzima aliyebadilisha Dini?
 
Kubadili dini inabaki choice ya mtu, haigusiani na msimamo kama mwanaume, unless uje na evidence wanaume waliobadilisha dini wamefeli kuongoza familia zao
Mleta mada nafikiri anamaanisha sio kubadili dini kisa kuvutiwa na imani nyingine au choices no, she mean yani man kubadili dini immediately kisa ampate mwanamke. Is not that enough for a sane woman to judge that her man hajajitosheleza? Kama alibadilibkisa akupate then ahame why usimkubali akiwa kwenye dini yake? Don’t you think kwamba pengine amebadili ili akupate tu then aendelee na dini yake?

Kama alihama dini muda then mkakutana ndani ya dini sawa, lakini on the spot nihame dini ati kigezo nimpate girl that’s the sign of fewer masculines in me, it’s a weakness.

For some ladies anaweza kutumia huu mwanya kama silaha kua anajaribu kutikisa kiberiti to force something.
 
sasa yule unatarajia awe na sauti ndani ya nyumba? no, kwanza kitendo chakubadili dini kumfata mwanamke tayar huo ni udhaifu
Tuko pamoja mama mwana, mie mwanaume akikubali kufuata dini yangu nampangia namna ya kumuacha, kuna mkaka flani hivi nilimsimulia shida zangu alikuwa ananitongoza kiaina basi akaanza kutokwa machozi yani niliflot hata tule tuhisia tulitwokuwa tumeanza tulipoa twoooote na nilimkatia ukaribu mpaka alishangaa asijue sababu, wanawake hatupendi wanaume wanaoendeshwa kama remote
 
Back
Top Bottom