Mama Mwana
JF-Expert Member
- Jun 6, 2023
- 2,435
- 7,784
- Thread starter
- #41
wanawake ambao bado tunataka kusmamiwa na mwanaume bado tupo tunaishi, mwanaume lazima awe kiongozi despite amenikuta na mahela yangu lakini lazima awe na sauti sasa ushabadili dini kunifuata unafikiri hapo kutakua na nn zaidi ya kupelekeshanaMnataka 50%sasa mnafatwa mnalalama kuwa Kuna vyeo vimepingua kila mtu asimamie misingi yake tu😆😆😆😎