Walioana kiislamu Kwa vile ilikuwa simple na kingine.. Sisi Imani yetu ule upande wa mume(shemeji yetu) hatuhusiki ni kwamba hata kama angebadili dini pasingekuwa na tatizo ,baba hajachukua hta shilling 10 ya mahari.
Wanapobadili sioni tatizo kama mtu ni hiari yake.
kingine haina athari Kwa vile upande wa shemeji hatuhusiki yaani jamaa kwao ni uchagni sipajui ila sister ameishi huko na pia hata kwenda kukaa Kwa sister sijawahi hata kuomba kipind nasoma sijui kumpigia kuhusu michango ,kiufupi hata mamba ya jamaa yake sijawahi kuwa nayo hata kuongea pamoja ni miaka inaenda 17
Na kwetu hamna ulazima ya kuja nyakati moja sister anaenda Kwa ratiba za kazi yake ,tunapishana .