Wanaume na kubadili dini

Wanaume na kubadili dini

Kubadili din muda mwingne inaweza kuwa the only an extra option mfano kwangu mimi mpaka niko hapa sijawahi kuwa kwenye mahusiano na mdada wa dini yangu hayo mahusiano yakadumu ila hawa dini tofauti tunaenda vzr tu simaanish ntabadlisha ila wanaobadlisha tusiwalaumu sana wakuu 😀
 
Walioana kiislamu Kwa vile ilikuwa simple na kingine.. Sisi Imani yetu ule upande wa mume(shemeji yetu) hatuhusiki ni kwamba hata kama angebadili dini pasingekuwa na tatizo ,baba hajachukua hta shilling 10 ya mahari.
Wanapobadili sioni tatizo kama mtu ni hiari yake.
kingine haina athari Kwa vile upande wa shemeji hatuhusiki yaani jamaa kwao ni uchagni sipajui ila sister ameishi huko na pia hata kwenda kukaa Kwa sister sijawahi hata kuomba kipind nasoma sijui kumpigia kuhusu michango ,kiufupi hata mamba ya jamaa yake sijawahi kuwa nayo hata kuongea pamoja ni miaka inaenda 17

Na kwetu hamna ulazima ya kuja nyakati moja sister anaenda Kwa ratiba za kazi yake ,tunapishana .
kwa hio shemejio alibadili dini na kua muslim ndio mana mkafungisha hio ndoa, okay kuhusu mahari waislam mahari ni haki ya muolewaji hivo ni kweli sio jukum lenu kujua
 
Kubadili din muda mwingne inaweza kuwa the only an extra option mfano kwangu mimi mpaka niko hapa sijawahi kuwa kwenye mahusiano na mdada wa dini yangu hayo mahusiano yakadumu ila hawa dini tofauti tunaenda vzr tu simaanish ntabadlisha ila wanaobadlisha tusiwalaumu sana wakuu 😀
sasa mkitaka kufundoa itakuaje
 
kuna watu watakuja kukuambia kila mtu na maamuzi yake tusiwapangie

raha ya mwaaume awe na sauti ya mamlaka hakuna kitu kizur kwenye mahusiano au familia uwe na mwanaume anayejua vyema jukum lake sio hawa wa kubadili dini kufata mwanamke mimi kunae mmoja alitaka tuoane ndoa za mseto nikamwambia hapa kila mtu ale chaka lake mambo ya ndoa za mseto ndio nn tukaachana
Yani hawana taste kabisa wanaume aina hiyo,,
 
kwa hio shemejio alibadili dini na kua muslim ndio mana mkafungisha hio ndoa, okay kuhusu mahari waislam mahari ni haki ya muolewaji hivo ni kweli sio jukum lenu kujua
Yaani hata hiyo ndoa mi sikuwepo😂😂kiufupi upande wa dada akishaolewa ni mali ya mume sisi hatuhusiki kabisa ,kama akibadili ni juu lake.
 
sasa mkitaka kufundoa itakuaje
Kwenye kufunga ndoa sasa hapo ndo msala mwingne unaanza simaanishi me ni team kataa ndoa but sijafkiria kama ntafunga ndoa visanga ni ving matukio na kuigiza yamejaa kwa hawa ninaowaona labda kama kuna atakaekuja nikamuelewa naweza funga nae 😀
 
wanawake ambao bado tunataka kusmamiwa na mwanaume bado tupo tunaishi, mwanaume lazima awe kiongozi despite amenikuta na mahela yangu lakini lazima awe na sauti sasa ushabadili dini kunifuata unafikiri hapo kutakua na nn zaidi ya kupelekeshana
Haya Maisha mwanamke ukijikuta unajua kuchonga mdomo sana nakwambia huelewi nakuacha. Na ugaratia wako mwanamke unapata wapi ujasiri wakwenda kusema unamlisha mwanaume wako/ kumtunza kwa majirani mliozoeana apo
 
hao ni wanawake wasiojitambua kwakweli
 
Kwenye kufunga ndoa sasa hapo ndo msala mwingne unaanza simaanishi me ni team kataa ndoa but sijafkiria kama ntafunga ndoa visanga ni ving matukio na kuigiza yamejaa kwa hawa ninaowaona labda kama kuna atakaekuja nikamuelewa naweza funga nae 😀
kupigwa matukio kusikufanye ukaona wanawake tunafanana mimi kuna mmoja alikuja hadi kujitambulisha ikawa ndio baba jeni byebye mbwa yule lakini sikukata tamaa
 
Back
Top Bottom