Wanaume na kubadili dini

Wanaume na kubadili dini

Dini Wala Haina uhusiano wowote na majukumu ya mwanaume ndani ya ndoa. Unaweza kuwa mfia Dini na huku unapuyanga kwenye majukumu ya kifamilia & and vice versa.

Kumbuka Kuna freedom of worship, kwa hiyo kila mtu Ana Uhuru wa kuchagua Dini anayoipenda
 
Hutaki kuelewa sababu ya ubinafsi ulonao
Mapenz ndio yanaamua watu wanajali furaha zao hawaangalii watu wataonaje

Umenikimbusha dada angu aling’ang’ania daah! nikamwambia asifanye, aliona nambania, leo hii anajuta
 
Kumbe kufungiwa jf kunauma hivi siku zilikua hazisongi any way tuachane na hayo.

Unamchukuliaje mwanaume anayebadili dini kisa mwanamke, mimi namuona wa ajabu kweli kama ameshindwa kusimamia imani ya dini yake bas hata maamuzi kama baba wa familia hatokua nayo mke akimkingia kibesi tayar kaflot,

Wanaume acheni huu ufwala kama binti amekupenda akufuate na sio wewe umfuate na tambua once utaamua kumfuata huyo manzi kisa dini kuna vyeo flani flani umejivua kama mwanaume tafuta wa dini yako wanawake tuko kibao usipelekeshwe na tamaa za moyo wako bila kushirikisha akili yako utaja umia
Nakazia hapo kabisaa[emoji2][emoji2]
Hii ina maana mwanaume anauza Ukoo wake kabisaa..
Sisi wanawake hatuna dini [emoji419]
 
Mapenzi ni ugonjwa wa akili yenye ndio uamua ufate dini gani
 
Kumbe kufungiwa jf kunauma hivi siku zilikua hazisongi any way tuachane na hayo.

Unamchukuliaje mwanaume anayebadili dini kisa mwanamke, mimi namuona wa ajabu kweli kama ameshindwa kusimamia imani ya dini yake bas hata maamuzi kama baba wa familia hatokua nayo mke akimkingia kibesi tayar kaflot,

Wanaume acheni huu ufwala kama binti amekupenda akufuate na sio wewe umfuate na tambua once utaamua kumfuata huyo manzi kisa dini kuna vyeo flani flani umejivua kama mwanaume tafuta wa dini yako wanawake tuko kibao usipelekeshwe na tamaa za moyo wako bila kushirikisha akili yako utaja umia
Hawara ako kabadil dini kwa ajili ya kimada kingine unakuja foka huku
 
Kubadili dini kisa mwanamke ni sawa na mwanaume kuhama kwake na kwenda kuishi kwenye nyumba ya mwanamke ni udhaifu wa hali ua juu na ulofa wa kiwango cha lami
 
Kumbe kufungiwa jf kunauma hivi siku zilikua hazisongi any way tuachane na hayo.

Unamchukuliaje mwanaume anayebadili dini kisa mwanamke, mimi namuona wa ajabu kweli kama ameshindwa kusimamia imani ya dini yake bas hata maamuzi kama baba wa familia hatokua nayo mke akimkingia kibesi tayar kaflot,

Wanaume acheni huu ufwala kama binti amekupenda akufuate na sio wewe umfuate na tambua once utaamua kumfuata huyo manzi kisa dini kuna vyeo flani flani umejivua kama mwanaume tafuta wa dini yako wanawake tuko kibao usipelekeshwe na tamaa za moyo wako bila kushirikisha akili yako utaja umia
Watu wenye maarifa huhamia imani/dini nyingine baada ya kuelewa mafundisho ya dini husika.
Ikitokea mwanamke akamfundisha naye akatamnbua kuwa, njia isiyo na mashaka ya kufika Mbinguni ipo kwenye dini yake, kwa nini asihamie?
Lakini pia unakuta mwanamme mwingine yupo yupo, anajiita wa dini nyingine kwa ajili ya jina lake naye anategemea mwanake amfuate; tuweni basi serious!
 
watu wengi huhama dini kisa mapenzi na yakiisha hurudi kwenye imani zao za awali hilo unassmaje
 
Back
Top Bottom