Wanaume na style ya kufuga ndevu

Ndevu zikipita shingoni.....zinatekenya na kusisimua
Ndevu zina play a big role kwenye foreplay, kuna ile line inayoanzia chini ya kidevu chako kuteremkia shingoni, kuelekea kifuani kufuata kitovu mpaka kushuka chini. Hapo ni ulimi na ndevu vinashirikiana kufanya kazi yake. Huyo Donatila mwenyewe analielewa vyema hili, zichanwe, ziwe kipilipili, ziwe rough ikifikia hiyo hatua ya kazi yake akili yake inahama!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sisi wenyewe kuna wake za watu mitindo yao ya nywele haswa hii ya blitchii wanakuwa kama comandoo wa ukraine aliyejipaka rangi asionwe na adui ila tumekaa kimya huenda mumewe ndo anavyotaka hivyo Kila mtu apangiwe na mpenzi wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…