Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Ndevu zikipita shingoni.....zinatekenya na kusisimua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hapo kwenye vuzi wote ke na me tuna hatia😅Sio nidevu tu na vuzi pia wanafuga
Kwa hio wewe unafuga kipi kati ya hivyo 😆hapo kwenye vuzi wote ke na me tuna hatia😅
Mbona sioni tusi. Hebu niambie ni neno lipi nimetukana hapo
Basi mkuu hakuna tusi tufanye km hivyoMbona sioni tusi. Hebu niambie ni neno lipi nimetukana hapo
Siajabu ana ndevu uku chin ana kobasSawa mkuu akanyoe ndevu kwanza apunguze hasira
Ni Wachafu totallySio nidevu tu na vuzi pia wanafuga
Ndevu zina play a big role kwenye foreplay, kuna ile line inayoanzia chini ya kidevu chako kuteremkia shingoni, kuelekea kifuani kufuata kitovu mpaka kushuka chini. Hapo ni ulimi na ndevu vinashirikiana kufanya kazi yake. Huyo Donatila mwenyewe analielewa vyema hili, zichanwe, ziwe kipilipili, ziwe rough ikifikia hiyo hatua ya kazi yake akili yake inahama!Ndevu zikipita shingoni.....zinatekenya na kusisimua
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ndevu zina play a big role kwenye foreplay, kuna ile line inayoanzia chini ya kidevu chako kuteremkia shingoni, kuelekea kufuani kufuata kitovu mpaka kushuka chini. Hapo ni ulimi na ndevu vinashirikiana kufanya kazi yake. Huyo Donatila mwenyewe analielewa vyema hili, zichanwe, ziwe kipilipili, ziwe rough ikifikia hiyo hatua ya kazi yake akili yake inahama!
Asante kwa pichaa ..Kila ndevu?View attachment 2708590
ama zina wenyewe?View attachment 2708591
au una muongelea Jamaa wa Tandale?View attachment 2708592
Ndevu zikipita shingoni.....zinatekenya na kusisimua
Naweza ona ndevu zako 😁
Ujue Kuna watu wazima humu hakuna watotoNi mwendo wa madevu tu hamna kuyachana wala nini tena kama ni kuyachana ni na vidole tu hamna hata haja ya chanuo