Wanaume na style ya kufuga ndevu

Wanaume na style ya kufuga ndevu

Ndevu zikipita shingoni.....zinatekenya na kusisimua
Ndevu zina play a big role kwenye foreplay, kuna ile line inayoanzia chini ya kidevu chako kuteremkia shingoni, kuelekea kifuani kufuata kitovu mpaka kushuka chini. Hapo ni ulimi na ndevu vinashirikiana kufanya kazi yake. Huyo Donatila mwenyewe analielewa vyema hili, zichanwe, ziwe kipilipili, ziwe rough ikifikia hiyo hatua ya kazi yake akili yake inahama!
 
Ndevu zina play a big role kwenye foreplay, kuna ile line inayoanzia chini ya kidevu chako kuteremkia shingoni, kuelekea kufuani kufuata kitovu mpaka kushuka chini. Hapo ni ulimi na ndevu vinashirikiana kufanya kazi yake. Huyo Donatila mwenyewe analielewa vyema hili, zichanwe, ziwe kipilipili, ziwe rough ikifikia hiyo hatua ya kazi yake akili yake inahama!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kila ndevu?
IMG_9542.jpg

ama zina wenyewe?
IMG_9543.jpg

au una muongelea Jamaa wa Tandale?
IMG_9544.jpg
 
Sisi wenyewe kuna wake za watu mitindo yao ya nywele haswa hii ya blitchii wanakuwa kama comandoo wa ukraine aliyejipaka rangi asionwe na adui ila tumekaa kimya huenda mumewe ndo anavyotaka hivyo Kila mtu apangiwe na mpenzi wake.
 
Back
Top Bottom