Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Kwenye mitandao mingi ya kijamii kupitia majadiliano na memes mbalimbali au hata comedy kumekuwepo na tabia ya ulalamishi unaozidi kushika kasia kwa vijana wa kiume kulalamika kuombwa pesa na wanawake au wale walio na wanawake walio na kazi kutoona mchango wa kipato cha wanawake wao kwao au katika familia.
Pia kumekuwepo na malalamiko kwamba wanawake wanapenda au kuvutiwa na wanaume wenye pesa zaidi.
Kiuhalisia mambo yote haya ni kweli kabisa na kuna sababu za msingi kabisa za wanawake kuwa hivyo, sababu yenyewe ni mageuzi ya kibinadamu(evolution), hayajifika ukomo wake.
Kwa malaki na maelfu ya miaka mwanamke alikuwa tegemezi kwa mwanaume kwa kila kitu na hata baada ya mabadiliko makubwa ya binadamu bado kuna mambo mengi ya kisaikolojia yaliyobaki kama mabaki ambayo hayabadiliki kwa urahisi na yanaweza kuchukua hata maelfu mengine ya miaka kubadilika.
Mifano ya hii ipo mingi mfano tabia ya binadamu kupenda sana vitu vya sukari ambavyo havina umuhimu mkubwa kwa afya yake kutokana evolution psychology iliyobakia ubongoni kutokana na kwamba nyakati hizo binadamu akiishi porini kupata matunda matamu au asali ilikuwa shida sana na ukiweza kuvipata ilibidi kuvila haraka haraka ili usinyang'anywe na jamii nyingine za wanyama au binadamu, mfano mwingine ni binadamu hata wa mjini kuogopa sana nyoka kuliko kugongwa na gari kwa sababu binadamu alizoea kuishi porini kwa muda mrefu (kiuhalisia ajali za gari na nyingi kuliko za nyoka)
Katika suala la mwanamke kutegemea na kuomba zaidi pesa za mwanaume au kupenda wanaume wenye pesa au mafanikio liko katika misingi hiyo hiyo ya psychology evolution, ndio maana hata anaweza kuwa na pesa za kumtosheleza mahitaji yake na bado akaomba tu za mwanaume ndipo anapopata utulivu.