Wanaume na vijana wadogo acheni ulalamishi kuombwa pesa na wanawake

Every man will do what they want, and that is their constitutional and human right.

Why do you feel like you have the right to dictate to them how to live?
They seem too naive.
 
Kwenye mitandao mingi ya kijamii kupitia majadiliano na memes mbalimbali au hata comedy kumekuwepo na tabia ya ulalamishi unaozidi kushika kasia kwa vijana wa kiume kulalamika kuombwa pesa na wanawake au wale walio na wanawake walio na kazi kutoona mchango wa kipato cha wanawake wao kwao au katika familia.

Pia kumekuwepo na malalamiko kwamba wanawake wanapenda au kuvutiwa na wanaume wenye pesa zaidi.

Kiuhalisia mambo yote haya ni kweli kabisa na kuna sababu za msingi kabisa za wanawake kuwa hivyo, sababu yenyewe ni mageuzi ya kibinadamu(evolution), hayajifika ukomo wake.

Kwa malaki na maelfu ya miaka mwanamke alikuwa tegemezi kwa mwanaume kwa kila kitu na hata baada ya mabadiliko makubwa ya binadamu bado kuna mambo mengi ya kisaikolojia yaliyobaki kama mabaki ambayo hayabadiliki kwa urahisi na yanaweza kuchukua hata maelfu mengine ya miaka kubadilika.

Mifano ya hii ipo mingi mfano tabia ya binadamu kupenda sana vitu vya sukari ambavyo havina umuhimu mkubwa kwa afya yake kutokana evolution psychology iliyobakia ubongoni kutokana na kwamba nyakati hizo binadamu akiishi porini kupata matunda matamu au asali ilikuwa shida sana na ukiweza kuvipata ilibidi kuvila haraka haraka ili usinyang'anywe na jamii nyingine za wanyama au binadamu, mfano mwingine ni binadamu hata wa mjini kuogopa sana nyoka kuliko kugongwa na gari kwa sababu binadamu alizoea kuishi porini kwa muda mrefu (kiuhalisia ajali za gari na nyingi kuliko za nyoka)

Katika suala la mwanamke kutegemea na kuomba zaidi pesa za mwanaume au kupenda wanaume wenye pesa au mafanikio liko katika misingi hiyo hiyo ya psychology evolution, ndio maana hata anaweza kuwa na pesa za kumtosheleza mahitaji yake na bado akaomba tu za mwanaume ndipo anapopata utulivu.
Hoja yako haina mtililiko wa kimantiki kwa sababu umechukua kipande cha hayo mahusiano ya zamani ukataka kukiunganisha na mahusiano ya kisasa bila kuzingatia nguzo ambazo zinayajenga hayo mahusiano ya kila upande.

Ni kweli wanawake wa zamani waliwategea wanaume zao almost kwenye kitu lakini tukumbuke kwamba hawa wanawake hawakua na uhuru wala access za kutafuta maisha vile vile walikua submissive kwa waume zao.

Kwa sasa mwanamke kapewa uhuru na access zote za kujitafutia hakuna sababu yoyote inayomzuia kutafuta pesa mpaka akataka jukumu la kupewa pesa ambebeshe mwanaume, vilevile wamejivisha ungangari dhidi ya mwanaume kwa kujinasibu kwamba wana uwezo wa kwenda jino kwa jino na mwanaume wenyewe wanajiita wapambanaji, superwoman n.k

Mwanamke anataka ajira, ukipewa ajira maana yake unaondolewa kwenye kundi la watu tegemezi unawajibika kujihudumia mwenyewe na kuchangia bill za familia.
 
They seem too naive.
Even if they are, which is debatable, it is their right to be naive.

Live your life, let them live theirs.

What is your problem if they choose to be what you call naive.
 
Hoja yako haina mtililiko wa kimantiki kwa sababu umechukua kipande cha hayo mahusiano ya zamani ukataka kukiunganisha na mahusiano ya kisasa bila kuzingatia nguzo ambazo zinayajenga hayo mahusiano ya kila upande.

Ni kweli wanawake wa zamani waliwategea wanaume zao almost kwenye kitu lakini tukumbuke kwamba hawa wanawake hawakua na uhuru wala access za kutafuta maisha vile vile walikua submissive kwa waume zao.

Kwa sasa mwanamke kapewa uhuru na access zote za kujitafutia hakuna sababu yoyote inayomzuia kutafuta pesa mpaka akataka jukumu la kupewa pesa ambebeshe mwanaume, vilevile wamejivisha ungangari dhidi ya mwanaume kwa kujinasibu kwamba wana uwezo wa kwenda jino kwa jino na mwanaume wenyewe wanajiita wapambanaji, superwoman n.k

Mwanamke anataka ajira, ukipewa ajira maana yake unaondolewa kwenye kundi la watu tegemezi unawajibika kujihudumia mwenyewe na kuchangia bill za familia.
Kwenye evolutionary psychology watu hawafanyi vitu kwa sababu tu wanapenda au kujisikia kufanya hivyo vitu bali kwa sababu wamekuwa programmed na mazingira au biology kwa muda mrefu kutenda hivyo.
 
Mimi naona tupo kwenye transition period yani watu wengi bado wanafuatisha traditional values ilhali wengine wameenda kwenye usasa.

Ni sawa na mwanamke feminist ambaye anaona kufanya kazi za nyumbani ni utumwa kwa mwanamke wa kisana lakini wakati huo huo anataka mwanaume wa kusimamia bills zake kama wanaume walivyofanya traditionally. Kwa minajili hii, hizo kelele haziepukiki mkuu 🙏🏽🙏🏽
Umegusa nilichokimaanisha na hili tatizo lipo zaidi kwa wanawake, leo hii hawaitaki status ya nwanamke wa zamani kwa kuona ni ukandamizaji wa kijinsia wanataka usawa lakini huo usawa unakuja na wajibu kwa maana iyo watalazimika kuachia upendeleo wote waliokua wanaupata kutokana na ile status yao ya unyonge, sasa zile priveleges alizozipata uyo mwanamke wa zamani kutokana na iyo status yake na wao leo hii wanazitaka pia, hapa ndipo shida inapoanzia.
 
Kwenye iyo evolution kuna survival of the fittest. Hizi zote ni consequencies za harakati za wanawake wenyewe.

Wanaume wastaarabu waliona kuna haja ya kuwainua na kuwajumuisha kwenye nyanja za kimaendeleo. Kutokana na kwamba nafasi yao ilikua dhaifu zikatungwa sheria za kuwapendeleo mfano sheria ya ndoa, mirathi, child support n.k. zikaenezwa movements za kuwaamsha mfano ferminism, zikawekwa asasi za kuwalinda n.k.

Wao wakatumia upendeleo waliopewa kisheria kutukomoa na kutufanyia ulaghai na utapeli wanaume, wakatumia movements za ferminism kupandikizana chuki, jeuri na roho za visasi dhidi ya wanaume, wakatumia victim status waliyopewa kutubambikia kesi za uongo. Hivi unategemea wanaume tutaendelea kuwa humble milele?

Na sisi tumelazimika kuji-adjust kwenye mfumo kitaalamu matokeo yake ndio haya sasa wameibuka team hakimi achraf mpaka rimoti ya tv inaandikwa jina la mama, vijana hawaoi, ongezeko la single mothers, anguko la thamani ya mwanamke kwenye jamii, mapenzi ya kuviziana n.k, ndio survival of the fittest iyo.
 
Yeah hapo inaonekana kama ajenda ipo kwa ajili ya kuwanufainisha na si pale inapowataka kuwa responsible
 
Kwenye iyo evolution kuna survival of the fittest. Hizi zote ni consequencies za harakati za wanawake wenyewe.

Wanaume wastaarabu waliona kuna haja ya kuwainua na kuwajumuisha kwenye nyanja za kimaendeleo. Kutokana na kwamba nafasi yao ilikua dhaifu zikatungwa sheria za kuwapendeleo mfano sheria ya ndoa, mirathi, child support n.k. zikaenezwa movements za kuwaamsha mfano ferminism, zikawekwa asasi za kuwalinda n.k.

Wao wakatumia upendeleo waliopewa kisheria kutukomoa na kutufanyia ulaghai na utapeli wanaume, wakatumia movements za ferminism kupandikizana chuki, jeuri na roho za visasi dhidi ya wanaume, wakatumia victim status waliyopewa kutubambikia kesi za uongo. Hivi unategemea wanaume tutaendelea kuwa humble milele?

Na sisi tumelazimika kuji-adjust kwenye mfumo kitaalamu matokeo yake ndio haya sasa wameibuka team hakimi achraf mpaka rimoti ya tv inaandikwa jina la mama, vijana hawaoi, ongezeko la single mothers, anguko la thamani ya mwanamke kwenye jamii, mapenzi ya kuviziana n.k, ndio survival of the fittest iyo.
Msiwe snowflakes, yani wanaume kwa maelfu ya miaka wamekuwa wakikandamiza wanawake kwa njia mbalimbali leo hii kuguswa tu kidogo na affirmative actions mbalimbali ndio mpige kelele hivyo kama mmekanyaga moto miguu peku!

Pamoja na hayo ni ukweli zipo hatua mbalimbali za kurekebisha mambo kuwasaidia wanawake zilizochukuliwa na jamii mbalimbali ambazo zimekuwa extreme au kukosa mashiko, hata hivyo hatua hizo bado haziwezi kuhalalisha uendelezwaji wa ubandidu wa ukandamizaji wa mwanaume kwa mwanamke katika nyanja mbalimbali.
 
Kwenye mitandao mingi ya kijamii kupitia majadiliano na memes mbalimbali au hata comedy kumekuwepo na tabia ya ulalamishi unaozidi kushika kasia kwa vijana wa kiume kulalamika kuombwa pesa na wanawake au wale walio na wanawake walio na kazi kutoona mchango wa kipato cha wanawake wao kwao au katika familia.

Pia kumekuwepo na malalamiko kwamba wanawake wanapenda au kuvutiwa na wanaume wenye pesa zaidi.

Kiuhalisia mambo yote haya ni kweli kabisa na kuna sababu za msingi kabisa za wanawake kuwa hivyo, sababu yenyewe ni mageuzi ya kibinadamu(evolution), hayajifika ukomo wake.

Kwa malaki na maelfu ya miaka mwanamke alikuwa tegemezi kwa mwanaume kwa kila kitu na hata baada ya mabadiliko makubwa ya binadamu bado kuna mambo mengi ya kisaikolojia yaliyobaki kama mabaki ambayo hayabadiliki kwa urahisi na yanaweza kuchukua hata maelfu mengine ya miaka kubadilika.

Mifano ya hii ipo mingi mfano tabia ya binadamu kupenda sana vitu vya sukari ambavyo havina umuhimu mkubwa kwa afya yake kutokana evolution psychology iliyobakia ubongoni kutokana na kwamba nyakati hizo binadamu akiishi porini kupata matunda matamu au asali ilikuwa shida sana na ukiweza kuvipata ilibidi kuvila haraka haraka ili usinyang'anywe na jamii nyingine za wanyama au binadamu, mfano mwingine ni binadamu hata wa mjini kuogopa sana nyoka kuliko kugongwa na gari kwa sababu binadamu alizoea kuishi porini kwa muda mrefu (kiuhalisia ajali za gari na nyingi kuliko za nyoka)

Katika suala la mwanamke kutegemea na kuomba zaidi pesa za mwanaume au kupenda wanaume wenye pesa au mafanikio liko katika misingi hiyo hiyo ya psychology evolution, ndio maana hata anaweza kuwa na pesa za kumtosheleza mahitaji yake na bado akaomba tu za mwanaume ndipo anapopata utulivu.
Download section, km huna pesa inakuwa download failed
 
Mimi naona tupo kwenye transition period yani watu wengi bado wanafuatisha traditional values ilhali wengine wameenda kwenye usasa.

Ni sawa na mwanamke feminist ambaye anaona kufanya kazi za nyumbani ni utumwa kwa mwanamke wa kisana lakini wakati huo huo anataka mwanaume wa kusimamia bills zake kama wanaume walivyofanya traditionally. Kwa minajili hii, hizo kelele haziepukiki mkuu 🙏🏽🙏🏽
Hapo mdau umeeleza ukwel kabsaa namim naona ke wanajichanganya saana.Yaan wanataka old style znazo wafavour ziendellee lkn zile waszo zipenda wana ziita unyanyasaj.Lkn utawakuta wanaponda old stylez zote.
 
Wanawake wanataka usawa lakini hawataki wajibu unaotokana na huo usawa, ndio maana hawaeleweki wanataka equality au patriachy.

Wamebaki kuamisha magoli tu kwa namna ambavyo wanaona wananufaika, hawawezi kuchagua kimoja for once and for all, akiwa masikini anakua feminine akiwa na hela anakua ferminist.
 
Back
Top Bottom