Wanaume na wanawake wa Dar mnachekesha sana...

Kila mtu anamtegemea mwenzake hapo. Kama mnaona hela ni bora mbona hapiki hizo hela mkala mpaka mnunue wazao yetu.

Bakini na hela zenu tuone mtakula nini.
Ha ha ha ha mchele tunaagiza abroad kila kitu kinapanda ndege
 
Waliozaliwa huko wanahesabika wengi wa kuja na ndio kama nyie mna maneno hatari kushinda hata hao wazaramo.
Ha ha ha ha mtabakia hvyo hvyo wazaramo wako kisarawe na mwanalumango
 
Kip kilikushangaza sasa watoto wazur ndan ya bikin enhee
Hivi ile pia ni sifa ee. Wanawake hawana stara eti kisa wapo dar mmhh. Mbona nyie mnajiheshimu sasa hamshindani nao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…