Bonny
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 13,370
- 29,968
Mie nikilma jua wewe itabd uolewe tu hakuna namnaHahahaa! Zipo nyingi tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mie nikilma jua wewe itabd uolewe tu hakuna namnaHahahaa! Zipo nyingi tu
Hivyo huko Dsm hakuna mjinga ee wote ni werevu.Mwisho wa siku huo moshi wa hizo kuni unawaathiri macho.Halafu wanaanza kuuwana kisa macho mekundu ni wachawi.
ndo ujue ujinga ni donda la kichwa.
Una kumbu kumbu inaonekana kuna kitu kilikufurahisha namna hyoNilivyokuja dsm hiyo mwaka juzi
Kuzaliwa tu mjin for six itakua wewe STD 7 wa kijijinHivyo huko Dsm hakuna mjinga ee wote ni werevu.
Kila mtu anamtegemea mwenzake hapo. Kama mnaona hela ni bora mbona hapiki hizo hela mkala mpaka mnunue mazao yetu.Wewe nan anakupa hela ya kulimia
Ndio shida yenu kila mtu aliyeko dar kazaliwa huko. MmhhKuzaliwa tu mjin for six itakua wewe STD 7 wa kijijin
Ha ha ha ha mchele tunaagiza abroad kila kitu kinapanda ndegeKila mtu anamtegemea mwenzake hapo. Kama mnaona hela ni bora mbona hapiki hizo hela mkala mpaka mnunue wazao yetu.
Bakini na hela zenu tuone mtakula nini.
Kumbe ulitaka azaliwe waoNdio shida yenu kila mtu aliyeko dar kazaliwa huko. Mmhh
Havikunifurahisha bali katika vitu vilivyonishangaza kilikuwa kimoja wapoUna kumbu kumbu inaonekana kuna kitu kilikufurahisha namna hyo
Kip kilikushangaza sasa watoto wazur ndan ya bikin enheeHavikunifurahisha bali katika vitu vilivyonishangaza kilikuwa kimoja wapo
Kwa utawala gani huo? Andaa tu hela zako kipindi cha mavuno unitumie nikuletee mcheleHa ha ha ha mchele tunaagiza abroad kila kitu kinapanda ndege
Ndio kaz yako utafanyaje sasaKwa utawala gani huo? Andaa tu hela zako kipindi cha mavuno unitumie nikuletee mchele
Waliozaliwa huko wanahesabika wengi wa kuja na ndio kama nyie mna maneno hatari kushinda hata hao wazaramo.Kumbe ulitaka azaliwe wao
Ha ha ha ha mtabakia hvyo hvyo wazaramo wako kisarawe na mwanalumangoWaliozaliwa huko wanahesabika wengi wa kuja na ndio kama nyie mna maneno hatari kushinda hata hao wazaramo.
Hivi ile pia ni sifa ee. Wanawake hawana stara eti kisa wapo dar mmhh. Mbona nyie mnajiheshimu sasa hamshindani naoKip kilikushangaza sasa watoto wazur ndan ya bikin enhee
Kwan umeambiwa kuvaa vile ndio kutokua na stara enheeHivi ile pia ni sifa ee. Wanawake hawana stara eti kisa wapo dar mmhh. Mbona nyie mnajiheshimu sasa.
Nyie wavamizi ndio mmebaki mnajitapa na mji wa watu. KhaaHa ha ha ha mtabakia hvyo hvyo wazaramo wako kisarawe na mwanalumango
Hebu niambie pale stara iko wapi?Kwan umeambiwa kuvaa vile ndio kutokua na stara enhee
Sio kazi yangu kwa kuwa unataka kula itabidi tu utume huna jinsiNdio kaz yako utafanyaje sasa
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Wanawake Wa dar wavaa madela bila chupi