Wanaume na wanawake wa Dar mnachekesha sana...

Kweli mnapenda afya zenu

Wakati mwingine ni swaga tu, unakuta koti unalo lakini huna pa kulivalia sababu ya joto, na huna gari la kiyoyozi kwa hiyo inabidi uliache tu.

Siku ukipata hali ya namna hii unaanza kutafuta koti lilipo unatupia, unaonekana nadhifu umevaa koti au unapiga suti kabisa. Ila makoti ya baridi kama yale wanavaa watu wa Arusha siyapendi aisee!
 
Nilijua ndio kama hayo ya arusha kumbe mnavaa ya kawaida ili muonekane nadhifu basi hapo sawa.

Sio kama hilo analosema kavaa Bonny
 
Kimvua kidogo tu kimenyesha.. Mmeshanza kuvaa masweta na makoti utafikiri mpo kwenye Polar continents. . Mkija mkoani mtayaweza kweli maisha... Acheni mambo ya ajabu nyie watu..
Sasa kinachokufanya ushangae hapo ni nini, mbona nyie mkija dar mijasho inawatoka inawatiririka hadi mikononi kwenye daladala mnawadondoshea abiria wenzenu, mnatukalia matumbo wazi, hadi wengine utasikia wanasema huu mji hawauwezi bora warudi mikoani kwao. Mbona sisi tunawachukulia kawaida tu tunajua hii hali hamjazoea
 
Tunakula mahindi ya kuchoma na chumvi, jion tunakula pweza na mchuzi wake raha sana kuishi dar
 
Kimvua kidogo tu kimenyesha.. Mmeshanza kuvaa masweta na makoti utafikiri mpo kwenye Polar continents. . Mkija mkoani mtayaweza kweli maisha... Acheni mambo ya ajabu nyie watu..
Duuuuh mpaka tanzania ya viwanda ipatikane magufuli ana kazi kubwa ya kufanya ,maana c kwa mawazo haya
 
Nilijua ndio kama hayo ya arusha kumbe mnavaa ya kawaida ili muonekane nadhifu basi hapo sawa.

Sio kama hilo analosema kavaa Bonny
Embu niache na koti langu la Russia
coat.jpg
 
Back
Top Bottom