Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo ndani ya huo mwezi mmoja unaweza ukafanya utaratibu wa kutakaHata ndani ya siku moja tu unaweza kujua.
Kila mtu ana sifa zake za mke/mume anaemtaka. Siku ukikikutana nae na ukagundua vigezo vyako vyote anavyo hivyo mchezo unakuwa umeisha.
Ndio inawezekana.Kwa hiyo ndani ya huo mwezi mmoja unaweza ukafanya utaratibu wa kutaka
Mpeleka kwenu, na uanze process,?
Hivi inawezekana mwanaume akafahamiana na mwanamke ndani ya mwezi mmoja na mwanaume akagundua kwamba amepata mke?
OkayNdio inawezekana.
Mimi binafsi nilienda kujitambulisha kwao baada ya kufahamiana nae kwa wiki mbili tu, nikaoa kabisa. Hadi sasa nipo nae 10yrs.
Noted mkuuMapenzi hayana formula kama hesabu. Unaeza kaa na mtu miaka 6 af ukaoa huyo wa mwezi mmoja. Ndoa ni kama jackpot mzeiya, hakuna draw, ni either umekula au umeliwa. So hui mwez inawezekana kabisa.
Pia hawa wanawake ukiwachunguza sana hautakaa uoe, we chagua matatizo unayoeza handle oa pambana na hali yako fullstop.
Mwanaume utateseka mpka unaingia kaburini bora uanze mapema tu. Cha muhimu watoto tu ili usife kama kitunguu.
Hii comment inafunga hii thread.Mapenzi hayana formula kama hesabu. Unaeza kaa na mtu miaka 6 af ukaoa huyo wa mwezi mmoja. Ndoa ni kama jackpot mzeiya, hakuna draw, ni either umekula au umeliwa. So hui mwez inawezekana kabisa.
Pia hawa wanawake ukiwachunguza sana hautakaa uoe, we chagua matatizo unayoeza handle oa pambana na hali yako fullstop.
Mwanaume utateseka mpka unaingia kaburini bora uanze mapema tu. Cha muhimu watoto tu ili usife kama kitunguu.
Hongereni sana.Ndio inawezekana.
Mimi binafsi nilienda kujitambulisha kwao baada ya kufahamiana nae kwa wiki mbili tu, wiki ya tatu nikamleta kwa wazazi wangu na wiki iliyofuata nilienda kujitambulisha kwao. Nikaoa kabisa baada ya miezi mitatu. Hadi sasa nipo nae 10yrs.
Alikuwa muwazi sana kwangu, na sifa zote 5 za mke nimtakae alikuwa nazo. Ikabidi nimchukue jumla.
Yaan weewe 😃😃Mimi nilikaa na kijana wa watu miaka miwili nikaja kuolewa na mtu nilijuana naye ndani ya siku moja..!
'motivesheno spika' tu, hata sina lolote...! 😂
Mimi nilikaa na kijana wa watu miaka miwili nikaja kuolewa na mtu nilijuana naye ndani ya siku moja..!
'motivesheno spika' tu, hata sina lolote...! 😂
Inategemea na nn?Inategemea.