Wanaume na wanawake wenye experience naomba mnijibu hili

Wanaume na wanawake wenye experience naomba mnijibu hili

Mwezi mbona mwingi Sana,
Inategemea unataka MKE wa namna gani.
 
Kuna kitu kinaitwa "Love at the first sight"....

Cjui nlitaka niseme nn lkn nlitaka kuwakumbusha kuwa hata sekunde moja inaeza ikatoa majibu
 
Kwa ndoa za 'Mwendo Kasi'...Mbona possible tu....Yaani hizi ndoa Zetu za Siku mbili Chali aah Unaoa hata ndani ya wiki tu.
 
Back
Top Bottom