nipo huku kwa sasaHaya nasubiri mchango wako.
Nyuzo za mikao zitakuja someday soon.
PS: kwanini una jina la mwisho la kijerumani?
Naweka kituo maana mwenyewe nina wa miaka 9 ila ananipelekesha hadi nawaza huko teenage years itakuwaje. Kwa sasa anamheshimu baba yake ila mie nina struggle naye. Naongea sana, sana. Anyways, Mungu ni mwema endelea kumuombea. It's just a stage and I guess it's difficult for them too. Lakini watavuka salamaUlivyokua kijana na kipindi cha balehe (teen age), mahusiano yako na baba yako yalikuwaje?
Nina watoto wa kiume wapo kipindi cha balehe na hawaivi kabisa na baba yao, japo hapo zamani walikua wana ukaribu sana. Ugomvi hauishi, kila kitu kidogo lazima watoto wapate mihemuko au wapate hasira na baba yao naye anakasirika (they trigger each other kupita kiasi). Watoto pia hawana uoga kuongea mbele ya baba kama wakiambiwa kitu na hawana utayari (japo huwa hawavunji heshima au kutukana).
Hii hali ni mpya (kwa miaka kadhaa sasa) tokea waingie kwenye balehe (teen years). Wazazi ambao mmeshalea male teens (vijana wa kume wakiwa kwenye balehe) uzoefu wenu ulikuwaje na je baada ya balehe, ukaribu na mahusiano huwa yanarudi tena kama zamani?
Na wanaume wa JF, vipi na wakati unakua mahusiano yako na wazazi yalikuwaje?
Asanteni na Jumapili njema!
View attachment 3360276
Ni kawaida.... Ila kwa maelezo naona kama kunadharau fulani.Ulivyokua kijana na kipindi cha balehe (teen age), mahusiano yako na baba yako yalikuwaje?
Nina watoto wa kiume wapo kipindi cha balehe na hawaivi kabisa na baba yao, japo hapo zamani walikua wana ukaribu sana. Ugomvi hauishi, kila kitu kidogo lazima watoto wapate mihemuko au wapate hasira na baba yao naye anakasirika (they trigger each other kupita kiasi). Watoto pia hawana uoga kuongea mbele ya baba kama wakiambiwa kitu na hawana utayari (japo huwa hawavunji heshima au kutukana).
Hii hali ni mpya (kwa miaka kadhaa sasa) tokea waingie kwenye balehe (teen years). Wazazi ambao mmeshalea male teens (vijana wa kume wakiwa kwenye balehe) uzoefu wenu ulikuwaje na je baada ya balehe, ukaribu na mahusiano huwa yanarudi tena kama zamani?
Na wanaume wa JF, vipi na wakati unakua mahusiano yako na wazazi yalikuwaje?
Asanteni na Jumapili njema!
View attachment 3360276
Kumkasirikia baba yao kwako ni kumheshimu na siyo kumdharau? Kwa nini siyo kwako bali ni kwa baba yao?Nitake wanangu wamdharau baba yao ili iweje?, naomba unieleweshe mana sielewi unamaanisha nini.
Na sijasema popote kwamba wana dharau, changamoto niliyoelezea kwenyenyuzi yangu ni mihemuko ya hasira na kupungua ukaribu kati ya watoto na baba yao.
Watoto ambao walikua karibu sana na baba yao na alikua kila kitu kwao, sasa hivi hawataki hata kupanda gari moja naye, wako radhi watembee.
Kamwe usiruhusu mtoto wako akufokee. Hata kama ana pesa zaidi yako anatakiwa ajue bado yeye ni mtoto kwako.Ulivyokua kijana na kipindi cha balehe (teen age), mahusiano yako na baba yako yalikuwaje?
Nina watoto wa kiume wapo kipindi cha balehe na hawaivi kabisa na baba yao, japo hapo zamani walikua wana ukaribu sana. Ugomvi hauishi, kila kitu kidogo lazima watoto wapate mihemuko au wapate hasira na baba yao naye anakasirika (they trigger each other kupita kiasi). Watoto pia hawana uoga kuongea mbele ya baba kama wakiambiwa kitu na hawana utayari (japo huwa hawavunji heshima au kutukana).
Hii hali ni mpya (kwa miaka kadhaa sasa) tokea waingie kwenye balehe (teen years). Wazazi ambao mmeshalea male teens (vijana wa kume wakiwa kwenye balehe) uzoefu wenu ulikuwaje na je baada ya balehe, ukaribu na mahusiano huwa yanarudi tena kama zamani?
Na wanaume wa JF, vipi na wakati unakua mahusiano yako na wazazi yalikuwaje?
Asanteni na Jumapili njema!
View attachment 3360276
Nusratt, Mshangazi dot com Mallerina,Mpwa Nomadix
Mwanangu Poor Brain
Wanaume wa JF njooni secretarybird , Kadhi Mkuu 1 , holoholo , Wagumu Tunadumu , KERATO MOMBAA , Daudi 1 , Monetary doctor iteni na wenzenu.
umemaliza kila kitu,....wengi wanaohangaika na watoto wao leo ni sababu ya malezi yao ya kipumbavu,...Hiyo hali haiepukiki ila ukubwa wake unatagemeana na mizizi iliyowekwa kipindi cha utoto wao na baba yao.
Mtoto ukimchekea sana utotoni akahisi ni marafiki basi katika balehe yake lazima atakupanda kichwani akihisi mnawezana.
Mtoto hapaswi kumuogopa mzazi ila kunapaswa kuwe na uelewa kuwa japo mzazi haogopewi ila nafasi yake ya uzazi haina mjadala, kwamba anachoamua mzazi ndio cha mwisho na hakihojiwi.
Haipaswi mtoto kuwa na nafasi yeyote ya kukaidi, kuhoji ama kujibizana na mzazi as long as bado anaishi katika himaya ya mzazi na bado anategemea mzazi.
Pia watoto wanapaswa kutambua kuwa wazazi wote wawili ni kitu kimoja sio kwamba mmoja ni 'fair' na mwingine ni mkuda.
Nyumba nyingi utakuta mzazi mmoja anajifanya mwema sana hasa mama na kumrushia uhaini wote baba. Hii inajenga taswira mbaya kwa baba mbele ya watoto.
Inapaswa itambulike kwa watoto wote kuwa maamuzi ya wazazi wote ni mamoja na kuwa ikitokea hukumu/agizo/maamuzi ni la wazazi wote.
Inapaswa wazazi waepuke kubishana juu ya maamuzi ya watoto wao mbele ya watoto. Hata kama hamkubaliani kuhusu jambo, inapaswa mfanyie pembeni mabishano sio mbele ya watoto.
Kubwa na la muhimu zaidi, mtoto hatakiwi kuwa na uhuru wa kuongea ujinga wowote juu mzazi mmoja kwenda kwa mzazi mwingine pasi na uwepo wa mzazi huyo. Yani haijalishi mtoto kakerwa kiasi gani, hatakiwi kuwa na ujasiri wa kwenda kuongea shiti juu ya baba mbele ya mama na mama nae aka support.
Nguvu ya ulezi bora inapatikana kwa umoja wa wazazi wote wawili.
Sio baba anatoa hukumu/adhabu, mama anamuita mtoto pembeni na kumbembeleza.
Asante sana kwa kushare.Jambo la kawsida kabisa kwa kijana rijali.
Nyege huwa na hasira sana na kujiamini.
Mimi baba yangu alikuwa giant na mbabe sana, lakini enzi za balehe alipata taabu sana, sikuwa na woga hata kidogo hadi aliogopa kupiga asijekuua.
Baada ya kipindi hicho kupita mambo yatarejea...
Note: inahitajika hekima sana ya mzazi.
Asante my kaka, na haya yako nimeyachukua.Kama shemeji amejua ukali wake watoto wanaogopa bora uzungumze nae aupunguze taratibu maana watoto wa kiume kimbilio ni baba. Wakati wa balehe hiyo awe anawatania kidogo muhimu na kuwapa ABC ya hiyo hali in friendly way Ajaribu kuwa na good time sana ila wajue kuna line wasivuke na kuleta "uwana" sana na njia zipo nyingi tu za kuwaweka karibu na yeye kama vijana wake muhimu sio wakati wa shida ndo wamfuate tu.
Kitendo cha kuwa mabubu akiwepo na wakiongea akiwa hayupo mezani anza nalo hili mwambie ajue.
Wengi wamechangia najua hujatoka kapa MD.c
Baba anatakiwa kujua namna ya kuhendo huo umri,mi mzee wangu alipojua,aliacha kabisa ukali na kunibutua,umri huo kijana haoni shida kuzikunja na dingi,akifika 21 hivi anatuliaUlivyokua kijana na kipindi cha balehe (teen age), mahusiano yako na baba yako yalikuwaje?
Nina watoto wa kiume wapo kipindi cha balehe na hawaivi kabisa na baba yao, japo hapo zamani walikua wana ukaribu sana. Ugomvi hauishi, kila kitu kidogo lazima watoto wapate mihemuko au wapate hasira na baba yao naye anakasirika (they trigger each other kupita kiasi). Watoto pia hawana uoga kuongea mbele ya baba kama wakiambiwa kitu na hawana utayari (japo huwa hawavunji heshima au kutukana).
Hii hali ni mpya (kwa miaka kadhaa sasa) tokea waingie kwenye balehe (teen years). Wazazi ambao mmeshalea male teens (vijana wa kume wakiwa kwenye balehe) uzoefu wenu ulikuwaje na je baada ya balehe, ukaribu na mahusiano huwa yanarudi tena kama zamani?
Na wanaume wa JF, vipi na wakati unakua mahusiano yako na wazazi yalikuwaje?
Asanteni na Jumapili njema!
View attachment 3360276
Kuna bwana hapo umemtaja eti alipigwa ngwala na mwanawe
Umeelezea exact situation ambayo pia hawa vijana wangu wanaipitia.Wakati wa balehe nilikua na distance fulani na mzee,,,,ni kama nilitaka kujitegemea kiakili na kihisia. Tulikua hatugombani sana, lakini tulikua hatuwezi kuelewana kirahisi.
Kila akisema kitu, nilihisi kama hanielewi au ananikandamiza. Ila baada ya mimi kukua, mahusiano yetu yamerudi kuwa bora zaidi,,kuna heshima, understanding, na hata urafiki kidogo.
So ni hali ya kawaida kabisa kwa kijana wa kiume kupitia akiwa hiyo stage.
Namfahamu mtu ambaye ana jina lako la mwisho na ameishi π©πͺnipo huku kwa sasa
Thanks Mama Z, kuna inputs nyingi zimechangiwa ambazo ni useful, karibu uzipitie.Naweka kituo maana mwenyewe nina wa miaka 9 ila ananipelekesha hadi nawaza huko teenage years itakuwaje. Kwa sasa anamheshimu baba yake ila mie nina struggle naye. Naongea sana, sana. Anyways, Mungu ni mwema endelea kumuombea. It's just a stage and I guess it's difficult for them too. Lakini watavuka salama
Binafsi sijaona dharau zaidi ya mihemuko ya mara kwa mara.Ni kawaida.... Ila kwa maelezo naona kama kunadharau fulani.
Mmeo ni role model wa wanao!! Kama hapana basi shida itakuwa kubwa saana.