Wanaume na wazazi wenye watoto wa kiume, hii imeshawahi kuwatokea?

Hiyo kitu inatokea kabisa, cha msingi ni Hekima ya wazazi hapo inahitajika.

No reform No Election

Hasahasa mnaweza kukaa nao kuwaeleza wanachokipitia kwamba ni kitu cha kawaida.

NRNE
Asante ushauri nimeuchukua πŸ™
 
Na mzee wao apunguze mihemko au hafaham wapo stage gani? Anyway hayo yote ni matokeo ya malezi ya awali ndio yanaleta majibu, pia kama wazazi mnapaswa kuwapa darasa swala la upevukaji na maadili ili wajue athari zake na faida maana kwenye hatua za ukuaji wanapitia mengi Sana hasa kwenye kufanya majaribio,, baba avae viatu vyake na mama avae viatu vyake inapopendeza zaidi kaeni kama Familia toen elimu ya ukuaji na uzazi kwa watoto!
 
Huo muda wa balehe ni hatari sana na ndiyo hupima uimara halisi kimalezi kwa wazazi.Hapo baba anapaswa awe baba kweli/father figure mwenyewe!Akili nyingi zitumike.Na,ni vema wazazi wawe mbele kiakili kuliko hao teenagers.Sijui unanielewa @bintiwazamani?
 
Vijana wa kiume wikifikia balehe wanayajuwa mambo ambayo wazazi huwa wanayafanya,hivyo wanawaona waongo kwenye matendo yao. Wanazungumza vitu vingine halafu wanatenda tofauti.
Daah ni kweli kabisaa πŸ’―
Hawa wangu huwa wanahoji na vingine wanakua sahihi kutuchallenge ila tunatumia mamlaka kama wazazi tu kuwanyamazisha.
 
Una uhakika unahitaji ushauri! Wengine tunao ambao washavuka 35+ na wengine 18+ kwa sasa.
 
Daah ni kweli kabisaa πŸ’―
Hawa wangu huwa wanahoji na vingine wanakua sahihi kutuchallenge ila tunatumia mamlaka kama wazazi tu kuwanyamazisha.
Ngojeni wawasumbue na kuwaonea.Ni zamu yao.Ila,wakae wakijua na wao yatawakuta tu ukubwani.Mimi shahidi.
NB;Kuweni nao makini sana na akili nyingi zitumike kulea magangwe/new kids on the block.
 
Binti wa zamani chukua hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…