Malkia wangu
Senior Member
- May 1, 2024
- 143
- 265
Kwanini utoe zote sasa?acha tamaa na hela za biashara
Hao ni wavulana ndio wanafanya hivyo mkuu.Hii inawahusu wanaume sio wavulana.
Hivi inakuaje unavoondoka nyumbani unatoa bunda la laki nne lote mfukoni kwako halafu unachomoa elfu 20 TU ndio unampa mwanamke wako ??
Ni kuringishia kwamba una hela nyingi au kukomoana kwamba pesa ninazo na sikupi . Nimeumia sana !
Sasa wewe unajua mipango ya pesa iyo ? Pesa Mmeo anaweza kukuonesha hata 10m , ila wenda iyo pesa ipo na sababu za kua pale, moja anataka mlipa mtu ili apate pesa zaidi , au ni pesa ila ipo na mgao kwa watu waliochangia iyo pesa ukaiona.Hii inawahusu wanaume sio wavulana.
Hivi inakuaje unavoondoka nyumbani unatoa bunda la laki nne lote mfukoni kwako halafu unachomoa elfu 20 TU ndio unampa mwanamke wako ??
Ni kuringishia kwamba una hela nyingi au kukomoana kwamba pesa ninazo na sikupi . Nimeumia sana !
Kwa nini usimwulize mme wako hapohapo?Hii inawahusu wanaume sio wavulana.
Hivi inakuaje unavoondoka nyumbani unatoa bunda la laki nne lote mfukoni kwako halafu unachomoa elfu 20 TU ndio unampa mwanamke wako ??
Ni kuringishia kwamba una hela nyingi au kukomoana kwamba pesa ninazo na sikupi . Nimeumia sana !
Cha kuzingatia ni kuwa ulichoachiwa kinakidhi mahitaji ya familia ama la, kuonekqna una pesa nyingi na unatoa chache haimaanishi kuringishia ama jeuri.Hii inawahusu wanaume sio wavulana.
Hivi inakuaje unavoondoka nyumbani unatoa bunda la laki nne lote mfukoni kwako halafu unachomoa elfu 20 TU ndio unampa mwanamke wako ??
Ni kuringishia kwamba una hela nyingi au kukomoana kwamba pesa ninazo na sikupi . Nimeumia sana !
DAh π€£π€£π€£πππHii inawahusu wanaume sio wavulana.
Hivi inakuaje unavoondoka nyumbani unatoa bunda la laki nne lote mfukoni kwako halafu unachomoa elfu 20 TU ndio unampa mwanamke wako ??
Ni kuringishia kwamba una hela nyingi au kukomoana kwamba pesa ninazo na sikupi . Nimeumia sana !
kwanini unipangie cha kufanya hv ww bint unaakili sawasawa?Kwanini utoe zote sasa?
Mahitaji ni makubwa kuliko pesa inayoachwa , ila ngoja nitafute zangu sitamsumbua mtoto wa ma mkweCha kuzingatia ni kuwa ulichoachiwa kinakidhi mahitaji ya familia ama la, kuonekqna una pesa nyingi na unatoa chache haimaanishi kuringishia ama jeuri.
Kuwa mwanaume ni taaluma ngumu sana ingawa wanawake mnaichukulia poa sana, wakati mwingine ni kama konda wa daladala ambaye huonekana mchana ana pesa nyingi sana, ila ikifika muda wa kulaza gari unakuta hata anakosa posho