Wanaume naomba mnijibu tafadhali

Wanaume naomba mnijibu tafadhali

Andiko hili ,nashauri Waziri Gwajima tembelea ili ajionee kwa namna nchi hii wanaume wananyaswa, yani mwanamke anaachiwa pesa na bado analalamika ,vipi siku mmeo mambo yake yakaenda vibaya kiuchumi hata kama ulikua na sh 1000 utamsaidia ? Ndo yale dakika 10 umelala mbele.

Takwim sinaonesha wanaume wanaongoza kufa mapema ,why nikutokana na namna wanavyoongoza mambano kwamua familia zao ,ila utashangaa yote amepambania akishafukiwa ,miezi sita mingi mwanamke anaanza chiachia kama vile alikua kwenye harakati za kutafuta izo mali tofauti na kulalamika kwenye mitandao anaachiwa pesa ndongo za matumizi nyumbani
.
Wapambanaji wenzangu wanaume tafuteni mapesa ila pia jijali usijiumize sana ,kila pesa unayopiga 10 % kula maisha ,maisha sio fair
 
Hii inawahusu wanaume sio wavulana.

Hivi inakuaje unavoondoka nyumbani unatoa bunda la laki nne lote mfukoni kwako halafu unachomoa elfu 20 tu ndio unampa mwanamke wako?

Ni kuringishia kwamba una hela nyingi au kukomoana kwamba pesa ninazo na sikupi. Nimeumia sana.
Unataka aivute ichanike hiyo note. Unatoa bunda unachomoa kiasi kinachotakiwa usije chana mali ya taifa
 
Cha kuzingatia ni kuwa ulichoachiwa kinakidhi mahitaji ya familia ama la, kuonekqna una pesa nyingi na unatoa chache haimaanishi kuringishia ama jeuri.
Kuwa mwanaume ni taaluma ngumu sana ingawa wanawake mnaichukulia poa sana, wakati mwingine ni kama konda wa daladala ambaye huonekana mchana ana pesa nyingi sana, ila ikifika muda wa kulaza gari unakuta hata anakosa posho
Teh teh 😃 😃 dah!...umewaza mbali sana...
 
Kwa hiyo ulitaka akatolee chooni ili usione kiasi alicho nacho?

Wanawake mko na matatizo sana, mwanaume wa kweli anaweza shika hata milioni kadhaa na baada ya muda zimegawanywa zote zinaisha; zikileta nyingine ni bahati.

Wanawake kwa asili wanawaza macho yao yanapoishia.
 
Wanawake tuna akili kama za watoto,nilivyokuwa mdogo baba alikuwa anaweka pesa kwenye mfuko wa shati sasa nikiomba akisema hana nilikuwa simuelewi kabisa...kumbe zilikuwa zina mambo kibao ya kusolve..😅
 
Hii inawahusu wanaume sio wavulana.

Hivi inakuaje unavoondoka nyumbani unatoa bunda la laki nne lote mfukoni kwako halafu unachomoa elfu 20 tu ndio unampa mwanamke wako?

Ni kuringishia kwamba una hela nyingi au kukomoana kwamba pesa ninazo na sikupi. Nimeumia sana.

Kumbuka anahonga Malaya laki sharti awe mweupe TU . Sasa Mimi cheusi Mangala nikitaka mahitaji ya watoto napewa 20,000 .
Wanaume ni .............
Yani we unaonekana kabisa una tamaa. Laki 4 nyongo inakutoka hvo, hzo nyingine zina mipango ya kuzalisha zaid ya hzo ulizoziona. We unaonekana kushika hata laki ni nadra sana, iyo laki 4 sio hela ya kuwaza eti inaenda wp.
 
Bado yuko 20's huyo 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom